babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,285
- 35,687
Sehemu nimegundua hawa kondoo wana matatizo ya akili, Facebook account yangu ina followers zaidi ya laki mbili, huwa napost maendeleo ya Tanzania.Bertin analalamika vijamaa vya kunya vina report videos zake ili zishushwe kwenye social networks zote. Hawa jamaa ni mashetani kumamake zao. Yaani hawapendi kuona tunaendelea hadi hawataki dunia ijue miji yetu ina uhalisia upi. Dah.
Wakunya huwa wanakuja inbox kutukana na kulalamika kwanini sipost maendeleo ya kunyaland. 😂😂😂
Inbox yangu imejaa matusi na vitisho ati “sisi ni wakunya tutahakikisha hii page haimalizi wiki” huwa nawajibu yenu ndo haitamaliza wiki na yangu itabaki. 😂😂😂