IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,266
- 9,387
what conversion rate are you usingTanzania earned $4.41 billion USD, While Kenya $3.15 billion
what conversion rate are you usingTanzania earned $4.41 billion USD, While Kenya $3.15 billion
Tanzania earned $4.41 billion USD, While Kenya $3.15 billion
This city is already better than KisumuDodoma NCC link. Ndio kwanzaa tumeanza in less than 8 years NCC link inakalisha sijui kisimu na takataka nyingine zote huko Kunyarenda.. hii si GVT city, Njedengwa wala old CBD 😂😂😂View attachment 3634809View attachment 3634810View attachment 3634817View attachment 3634818View attachment 3634819View attachment 3634820View attachment 3634821![]()
And it will never catchupThis city is already better than Kisumu
Huyo bwege anavyojua yy tazara ni shirika la Tanzania peke yake 😂Bado wewe ni fala mmoja tu.
Sijui kama unajua maana ya TAZARA, kwa Zambia kuiikimbia TAZARA ni sawa na kujipiga risasi mguuni. Na pia bado TAZARA unabeba mzigo kutoka DRC kwa wingi tu.
Huko Mozambique watajuana wenyewe kwenye mambo ya security, ni sawa tu na EACOP ilivyopotea kunyaland na kujipata Iko Tanga. Haya mambo hayaendi kwa maneno tu mzee... Kuna mikakati imesukwa vizuri tu.
Kitu Cha kusikitikia ni hiyo garimoshi yenu huko north corridor... 8 hours from mombasa to naivasha... Wakati hapo sisi tayari kwa SGR tunakuwa tupo Kigoma... Maana yake nini? Kwa muda mfupi, na kwa gharama nafuu maana hatutumii fossil fuels... Tunaweza kubeba mzigo mwingi kwa Nchi jirani kama Uganda, Rwanda , Burundi na Congo... Hata Hadi South Sudan... Tunawafikia haraka kabla ya hiyo chuma chakavu yenu.
Sawa big baboon.Mimi ni Mungu wako humu. 😂😂 unanitii na kuniogopa.
The best football stadium in Africa currently.
Nyasi haimei? 🤣 🤣
AMARII the liker, you would never get along with Ugandans. Unajua Ugandans language barrier inafanyanga msijuane kiundani. Sisi tunawajua nyinyi wote. Hamuendani. 🤣 🤣Kumbe ndugu zetu Uganda wanajua hawa mafala wa north ni debe tupu tuu...
I wish tungepata jukwaa la UG ambalo ni very engaging kama hili tuwe tunasumbuana na Ndugu zetu UG kwenye banter. Tuachane na hawa majirani mafala.
Lakini madame, si ungefanya quick google search tu before 😂 😂 have you ever earned more than tanzania in tourism? 😂😂😂 BTW mbna toka 2020 citizen tv wanatoa data za tourismwhat conversion rate are you using