El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Kama security i Tanzania mbona Tundu Lisu nusra afe ?
CCM MAFIA hatari......Tundu Lisuu atakaa na sisi humu tu
Kama security i Tanzania mbona Tundu Lisu nusra afe ?
Mshindani kwa nani!! kwa sababu sasa hivi tu Tz ndiyo kinara wa kuzalisha cement hapa E.A. Ukienda Malawi, Burundi, Rwanda uta shangaa wanavyo tumia cement ya T.Z.Hata kwenye cement tutakuwa washindani wakubwa sana ndani ya miaka 2 ijayo punde kiwanda kipya kikubwa kuliko vyote bongo kikikamilika na dangote mtwara ukianza kuzalisha at full capacity
the savage kenya they wouldn't want us to know.
kenyan man in juja has killed his entire family after going through tough financial situation(vyuma vimekaza).
source(KTN) says the man got panicked and confused after being conned ksh1.5 million, he later killed himself.
shikamoo wakora wa kenya, mmesababisha mpaka mtu kaua familia nzima.MUNGU awalaani.RIP.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tumieni hiyo "aggressive" yenyu kuondoa njaa.Tumieni hiyo method kuingia middle income then ndio muache kutusumbua.
Wacha tusiheshimike bora hatuko LDC.Ninyi hamuheshimiki duniani, mnadharauliwa sana kwasababu hiyo ya kuomba na kupewa chakula cha bure, mnalishwa kama mbwa, ndiyo sababu mnawaogopa wazungu, wakitishia kidogo mnatoroka kupiga kura.
Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
Vile vile tumieni jinsi yeyote kutoka LDC.Tumieni hiyo "aggressive" yenyu kuondoa njaa.
Haipo Kwenye siri na tunakubali hali yetu mbona msikubali Nyinyi ni LDC na pia project nyingi huko bongo ni za ushabik tupu yani white elephant.
Poverty ravages Turkana as new goals unveiled - Daily NationWacha tusiheshimike bora hatuko LDC.
Nani aliyekataa?, Kenya ndiyo wenye white elephant projects, miradi yetu yote ni economically viable, wakati projects zenu karibu yote imetumia pesa nyingi haiwezi kurudisha hizo pesa, mfano ni hiyo SGR, tayari wafanya biashara wanalalamika kwamba nauli ni ghali sawa na usafiri wa barabara. Wewe huelewi maana ya white elephant project, jielimishe kwanzaHaipo Kwenye siri na tunakubali hali yetu mbona msikubali Nyinyi ni LDC na pia project nyingi huko bongo ni za ushabik tupu yani white elephant.
Na bado tumewachacha huko LDC. Next bad news please.
Yetu ni white elephant bora hatuko LDC.Nani aliyekataa?, Kenya ndiyo wenye white elephant projects, miradi yetu yote ni economically viable, wakati projects zenu karibu yote imyetumia pesa nyingi haiwezi kurudisha hizo pesa, mfano ni hiyo SGR, tayari wafanya biashara wanalalamika kwamba nauli ni ghali sawa na usafiri wa barabara. Wewe huelewi maana ya white elephant project, jielimishe kwanza
Sisi bora hatudhaliliki duniani kwa kulishwa na kupewa chakula, tupo huru kujiamulia mambo yetu, hatuogopi wazungu kwa kuogopa kukosa chakulaYetu ni white elephant bora hatuko LDC.

Hunger & corruption,want another?Na bado tumewachacha huko LDC. Next bad news please.
nimejaribu kumueleza kiroho safi... no beef.Hahahahahahaha... It's either your way or the Highway?
Naomba ifungulie uzi hii thread, tusikie wanasemaje, hawa jamaa hawana kitu zaidi ya mdomo mtupunimejaribu kumueleza kiroho safi... no beef.
i told you the other day, even USA regardless of her strongest military powers than any country in the world,When do you keep abreast with your own affairs other than monitoring Kenyan news!? Jipe shughuli bwana,you must be so idle that you go fishing literally for any ''negative'' news from Kenya!


How do understand abt the term leading competitor?Mshindani kwa nani!! kwa sababu sasa hivi tu Tz ndiyo kinara wa kuzalisha cement hapa E.A. Ukienda Malawi, Burundi, Rwanda uta shangaa wanavyo tumia cement ya T.Z.
Ko hapo ndo umejibu nn,jibu hoja sio virojaNa ndio maana tulikwambia wee ni mkenya unaejifanya mbongo idiot