Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sidhani kama kuna haja ya kujenga international airport huko sumbawanga ni upotevu wa pesa
Songwe na Mwanza zitaisha lini,toka enzi ya mkapa,hivyo navyo hakuna haja kama swax? Ila haja ipo chato,,turudi tu kwenye battle
 
Songwe na Mwanza zitaisha lini,toka enzi ya mkapa,hivyo navyo hakuna haja kama swax? Ila haja ipo chato,,turudi tu kwenye battle
unapokuwa unajadili mada katika thread hii, kamwe usijaribu kuingiza emotion za siasa za ccm na chedema.

wala usijaribu kuonyesha chuki yako kwa JPM au utawala wake, utapasuka kichwa.be neutral about politics.

hata wakenya japo wanatofauti zao za kikabila na siasa, kwenye thread hii wanajaribu kubaki katika agenda moja.

nakushauri hili baada ya kugundua kuwa kila unachokiandika na kukikosoa, kina mihemuko fulani ya uchadema ndani yake(wazee wa kukosoa kila kitu).

ni hiyari yako kuukubari ushauri wangu au kuupuza.
 
Ngoma haishoneki nchi ipo hoi
55dbd132743ad59dfbdf84397c348d4e.jpg
 
By the way which games do Tanzania participate in? You guys seem to be lazy in everything. By the way you country is really blessed, twice the size of Kenya, the country has no arid place like Kenya; almost 80% green and wet, the country is blessed with all natural resources gold, gas, uraniy=um, bauxite e.tc and more so beautiful with abundant wildlife. You guys should be competing with South Africa and not Kenya. You are sleeping and drinking too much, wake up
 
Ok ndo hivyo but ukiweka percentage ya mtandao wa barabara utajua kama umejitahidi au unafanya marktime,sio sawa mwenye mtandao let say km 100 akajenga km 20 na ww mwenye km 250 ukajenga km 30 then ujisifu,sio sawa
Kenya imefanikiwa kuingia katika kundi la middle income mapema kutokana na udogo wa population yake ukilinganisha na nchi kama Ethiopia, japo GDP ya Ethiopia ni kubwa zaidi, hii ni kwasababu walichukua absolute number ya pato la taifa na kugawa kwa idadi ya watu, kama wangetafuta percentage ya hiyo absolute number kama numerator over GDP, msingepanda kufikia lower middle income country, the best way ni kuchukua absolute number kujua serikali ipi inafanya kazi zaidi
 
Tumieni hiyo method kuingia middle income then ndio muache kutusumbua.
 
Tanzania ni kubwa mara mbili size ya Kenya, hiyo maana yake ni kwamba 10% ya barabara za Tanzania, urefu wake ni sawa na 18% ya barabara za Kenya, kwahiyo kila kipimo unachotumia lazima ujue tafsiri yake. Tunapolinganisha urefu kwa kilometa, lengo ni kujua ni nchi gani imejenga barabara nyingi zaidi, hiyo italeta maana nzuri kuliko percentages.
Peleka huko hizo vijibarabara vyenu vya vumbi na mashimo.
 
unapokuwa unajadili mada katika thread hii, kamwe usijaribu kuingiza emotion za siasa za ccm na chedema.

wala usijaribu kuonyesha chuki yako kwa JPM au utawala wake, utapasuka kichwa.be neutral about politics.

hata wakenya japo wanatofauti zao za kikabila na siasa, kwenye thread hii wanajaribu kubaki katika agenda moja.

nakushauri hili baada ya kugundua kuwa kila unachokiandika na kukikosoa, kina mihemuko fulani ya uchadema ndani yake(wazee wa kukosoa kila kitu).

ni hiyari yako kuukubari ushauri wangu au kuupuza.
Hahahahahahaha... It's either your way or the Highway?
 
Wacha Sisi tukae huko tupokee misaada ya Chakula bora tusiwe level moja na LDC.
Ninyi hamuheshimiki duniani, mnadharauliwa sana kwasababu hiyo ya kuomba na kupewa chakula cha bure, mnalishwa kama mbwa, ndiyo sababu mnawaogopa wazungu, wakitishia kidogo mnatoroka kupiga kura.

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom