Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magorofa tunayoyahenga sio eti nani aliye na gorofa ndefu kushinda mwingine,(kama vile nyie na ulimbukeni wenu na porojo mnavyofikiria)Ni majumba marefu marefu kwa ajili tuko na wealthy middle na upper middle class plus Kenya inaongoza Africa nzima kwa multinational corporations .Hivi nyie magofu ya kuokotwa na kutupwa za mzizima towers,na gorofa tupwa tupwa za Tpa na pspf zitakaliwa na nani?Naona ni historia itakavyokuwa kama ponte city apartments miaka iliopita.Pinnacle kwa sasa kwenye jengo la hoteli maharufu ya Hilton tayari iko 100% taken, that is 45 storey smaller arm,while the 70 storey arm b4 hata marketing ianze,liko 50% booked!!!
porojo
 
ec539662c45a24f7ebc9f41e72d25377.jpg
 
Kadoda bby,jua kwamba jiji la Nairobi lina umaharufu mkubwa kote dunia nzima,hivi je kijiji cha walatope cha Dar is slum nani kajua?
Huwezi compare ukwasi na umaharufu wa Nairobi na vitu hivi hivi,Nairobi ina historia yake halisi .
 
asante kwa porojo.
 
Kwa hivyo huu ushindani peleka tandale na manzese,sehemu tupwa Dar is slum
 
Dar is slum ni mji usiojulikana dunia nzima 'hivi iweje mnapoteza time yenu humu kwa porojo
Hatushindanii majengo, tunashindania huduma bora za msingi, kama hadi leo hakuna maji ya ktosha hapo Nairobi, public transport ni hovyo, slums zimezagaa, insecurity na unemployment inaongezeka, vipi ulinganishe na Dar mji wenye very good living standards in EA?, ninyi endeleeni kujulikana wakati kipindupindu kinawamaliza.
 
Hatushindanii majengo, tunashindania huduma bora za msingi, kama hadi leo hakuna maji ya ktosha hapo Nairobi, public transport ni hovyo, slums zimezagaa, insecurity na unemployment inaongezeka, vipi ulinganishe na Dar mji wenye very good living standards in EA?, ninyi endeleeni kujulikana wakati kipindupindu kinawamaliza.
 
Magorofa tunayoyahenga sio eti nani aliye na gorofa ndefu kushinda mwingine,(kama vile nyie na ulimbukeni wenu na porojo mnavyofikiria)Ni majumba marefu marefu kwa ajili tuko na wealthy middle na upper middle class plus Kenya inaongoza Africa nzima kwa multinational corporations .Hivi nyie magofu ya kuokotwa na kutupwa za mzizima towers,na gorofa tupwa tupwa za Tpa na pspf zitakaliwa na nani?Naona ni historia itakavyokuwa kama ponte city apartments miaka iliopita.Pinnacle kwa sasa kwenye jengo la hoteli maharufu ya Hilton tayari iko 100% taken, that is 45 storey smaller arm,while the 70 storey arm b4 hata marketing ianze,liko 50% booked!!!
kwani unafkiri dar iko mbele kwa real estates more than 3b usd to nairobi, do u think wanaishi mbuzi au?????

Kenya: World Bank Ranks Dar Real Estate Ahead of Nairobi's

yani unatuletea mpaka renders of pinnacle and montave😀😀😀😀
 
Kadoda bby,jua kwamba jiji la Nairobi lina umaharufu mkubwa kote dunia nzima,hivi je kijiji cha walatope cha Dar is slum nani kajua?
Huwezi compare ukwasi na umaharufu wa Nairobi na vitu hivi hivi,Nairobi ina historia yake halisi .
hehhehe one good year😀😀😀😀😀
794A8CB1-C991-4533-9CC7-9797EDE15A7E.jpeg
 
Back
Top Bottom