Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naomba ifungulie uzi hii thread, tusikie wanasemaje, hawa jamaa hawana kitu zaidi ya mdomo mtupu
Is democracy on the decline in Kenya?
acha nikachukue screenshot then niilete hapa.

nimegundua siku hizi hakuna sababu ya kuanzishia thread kila kitu kuhusu kenya.

huu uzi ni mkubwa sana na unatembelewa na watu wengi kuzidi hata thread zingine.

kila kitu kinaletwa hapahapa kwenye thread yetu pendwa ili wanaotembelea wapate kusoma.

wanakasirika sana tunapoleta screenshot zinazo zungumzia issues mbaya za kwao.
 
acha nikachukue screenshot then niilete hapa.

nimegundua siku hizi hakuna sababu ya kuanzishia thread kila kitu kuhusu kenya.

huu uzi ni mkubwa sana na unatembelewa na watu wengi kuzidi hata thread zingine.

kila kitu kinaletwa hapahapa kwenye thread yetu pendwa ili wanaotembelea wapate kusoma.

wanakasirika sana tunapoleta screenshot zinazo zungumzia issues mbaya za kwao.
 
Kenya imefanikiwa kuingia katika kundi la middle income mapema kutokana na udogo wa population yake ukilinganisha na nchi kama Ethiopia, japo GDP ya Ethiopia ni kubwa zaidi, hii ni kwasababu walichukua absolute number ya pato la taifa na kugawa kwa idadi ya watu, kama wangetafuta percentage ya hiyo absolute number kama numerator over GDP, msingepanda kufikia lower middle income country, the best way ni kuchukua absolute number kujua serikali ipi inafanya kazi zaidi
Point kuu ni,kama mko wengi mnatakiwa kuchangia zaidi kinyume na hapo ni failure wala sio kusingizia uchache vinginevyo Rwanda nao wangekuwa Lower Middle
 
unapokuwa unajadili mada katika thread hii, kamwe usijaribu kuingiza emotion za siasa za ccm na chedema.

wala usijaribu kuonyesha chuki yako kwa JPM au utawala wake, utapasuka kichwa.be neutral about politics.

hata wakenya japo wanatofauti zao za kikabila na siasa, kwenye thread hii wanajaribu kubaki katika agenda moja.

nakushauri hili baada ya kugundua kuwa kila unachokiandika na kukikosoa, kina mihemuko fulani ya uchadema ndani yake(wazee wa kukosoa kila kitu).

ni hiyari yako kuukubari ushauri wangu au kuupuza.
Haaa! Mzee mm niko neutral ila upotoshaji ndo sikubaliani nao,afu kama kuna project au anything on our side kwa maoni yangu naona hakiko sawa siwezi kukubaliana eti kwa sababu ni cha nyumbani,let say chato airport naanzaje kuunga mkono kwamba in eco viable?
 
Tanzania kwenye barabara hakuna nchi east Africa inaikuta
AF1QipNPJzscpaC1uYP8HG4wievr_YE7v30tbRl_ac7i=s1600-w1200
1.jpg
images
images
images
9YA3ttDdscuLMQGighmV51wQlPETjaJ14VOklHMN8-kxeJ92TNajM6V3BuVZId4Pp1fLnNJ-rlbAAJoTRk0lwZ-1sQxiqBohvKtSLxj1G46da5p4-w=w443-h332-nc
maxresdefault.jpg
5R5A2304.JPG
images
3.JPG
images
images
135294277_14611120217291n.jpg
images
Maragalasi+Picha+Na+2.jpg
images
top_pic.jpg
Unity_Bridge_Tanzania.jpg
cvmrPTuo3n7GSazYarNrVMiXe9daVUb2oCB7C9dqII9uyajyEYEKEfwfFdUEEJzQUwEzyDLb5a0amYrAmRFDo2RIaeyz5zZ-R9iLspcl4rZaDlv8oFGYpLuASfOJdMFGDU9vKbzf=w470-h313-nc


joke of the century... .a country
with a meagure 7600km of one laned roads
 
Songwe na Mwanza zitaisha lini,toka enzi ya mkapa,hivyo navyo hakuna haja kama swax? Ila haja ipo chato,,turudi tu kwenye battle
mwanza iko under construction na juzi nilikwenda huko na bahat nzuri ni kwetu😀😀😀😀😀

kujenga airport sio sifa kwnza uhakikishe je itanufaisha watu kwa wakat huu
 
Back
Top Bottom