ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
wewe mkenya leta ya kenya kwanza😀😀😀Ni percentage ngapi ya kms za barabar zilizopo katika kila nchi?Hiyo italeta picha halisi
wewe mkenya leta ya kenya kwanza😀😀😀Ni percentage ngapi ya kms za barabar zilizopo katika kila nchi?Hiyo italeta picha halisi
Sina taarifa kivipi,kwani umesoma hiyo nukuu nimeandikaje? Sawa mtanzania nimeipokeana huna taarifa kuhusu wachina wanajenga kiwanda kikubwa cha cement mara mbili ya dangote kitazalisha 7m tons per year ujenzi ushaanza tanga, hio ndio taarifa nakupa mkenya na cost yake ni 1.2b usd
Vyote vinaleta pesaSawa lakini kipi kinaleta tija au pesa zaidi kati ya hizo stand na airports? Yaani viongozi wa halmashauri ndo akili zao za planning zimeishia hapo kwenye stand?
safi sana mkenya karibu sana😀😀😀😀Sina taarifa kivipi,kwani umesoma hiyo nukuu nimeandikaje? Sawa mtanzania nimeipokea
huyo ni mkenya anaejifanya mtanzania😀😀Vyote vinaleta pesa
Una swali jingine?
Nafahamu za Tzn ,ni km 35,000 kwa mujibu wa TANROADS na wizara ya ujenziwewe mkenya leta ya kenya kwanza😀😀😀
Swali halijakamilika hili.Ni percentage ngapi ya kms za barabar zilizopo katika kila nchi?Hiyo italeta picha halisi
nimekwambia leta ya kwenu kenya kwanzaNafahamu za Tzn ,ni km 35,000 kwa mujibu wa TANROADS na wizara ya ujenzi
Waswahili wanasema mbwa ukimjua Jina hawezi kukusumbuahuyo ni mkenya anaejifanya mtanzania😀😀
nimekwambia leta ya kwenu kenya kwanza
kutoka Tarime hadi mtwara tu ni km1900.Nimeongeza baada ya kukosolewa sio150km mbali ni 1500km
Haa!haa! Ur very funny indeedtumekuskia mkenya😀😀😀😀😀
cheka lakini gear ishafeli jaribu mbinu nyingine😀😀😀😀😀😀😀Haa!haa! Ur very funny indeed
Tanzania ni kubwa mara mbili size ya Kenya, hiyo maana yake ni kwamba 10% ya barabara za Tanzania, urefu wake ni sawa na 18% ya barabara za Kenya, kwahiyo kila kipimo unachotumia lazima ujue tafsiri yake. Tunapolinganisha urefu kwa kilometa, lengo ni kujua ni nchi gani imejenga barabara nyingi zaidi, hiyo italeta maana nzuri kuliko percentages.Ni percentage ngapi ya kms za barabar zilizopo katika kila nchi?Hiyo italeta picha halisi
Hata kama vyote vinaketa pesa,ishu ni how much,,kuna bandari kibao bongo na zote zinaleta pesa lakini nguvu kubwa inapelekwa bandar ya dar,why?Vyote vinaleta pesa
Una swali jingine?
Sidhani kama kuna haja ya kujenga international airport huko sumbawanga ni upotevu wa pesaHata kama vyote vinaketa pesa,ishu ni how much,,kuna bandari kibao bongo na zote zinaleta pesa lakini nguvu kubwa inapelekwa bandar ya dar,why?
Ok ndo hivyo but ukiweka percentage ya mtandao wa barabara utajua kama umejitahidi au unafanya marktime,sio sawa mwenye mtandao let say km 100 akajenga km 20 na ww mwenye km 250 ukajenga km 30 then ujisifu,sio sawaTanzania ni kubwa mara mbili size ya Kenya, hiyo maana yake ni kwamba 10% ya barabara za Tanzania, urefu wake ni sawa na 18% ya barabara za Kenya, kwahiyo kila kipimo unachotumia lazima ujue tafsiri yake. Tunapolinganisha urefu kwa kilometa, lengo ni kujua ni nchi gani imejenga barabara nyingi zaidi, hiyo italeta maana nzuri kuliko percentages.