Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hizi article si zimejaa kule Google mzee, kwn c hata ukiuliza ipi nchi ina usafiri bora wa reli kati ya Tanzania na kenya utaambiwa Kenya, kwasabu wakenya mme invest sn kwenye mitandao lkn ukija ground unakuta mambo ni tofauti.
Uyo fala dont take sense to him, ni chokoraa, nshamwambia ALipie AI mpaka leo hana ela
1783543554695.png
 
Ooh Arusha "LOOKS" More modern , sawa I'll give you that,
the angular mabati does look more futuristic like Mercedes Benz stadium usa
 
Ooh Arusha "LOOKS" More modern , sawa I'll give you that,
the angular mabati does look more futuristic like Mercedes Benz stadium usa
Even alianza arena doesnt look modern kama arusha stadium, but we understand because that cowshed in ngong is the only thing you have ever seen

1783544034576.png

1783544053673.png

kwa kifupi hio cowshed apo ngong ni takataka Teargass
 
Anakuja kuweka picha za Al thumama eti anauliza na huu je? Yn haoni kama hii ni kofia imewekwa hapo chini, ye anafikiri hili pia ni box kama hivi viwanja vya ki Africa View attachment 3625348
huyo dogo ni chokoraa hujaona picha zake alivokaa? ni wale waliojaribu kilimo jembe likamrarua sasa mpaka leo akili haijakaa sawa
 
Ooh Arusha "LOOKS" More modern , sawa I'll give you that,
the angular mabati does look more futuristic like Mercedes Benz stadium usa
Huo ndiyo ukweli, watu siku hz wanaumizwa vichwa kuja na vitu vipya, ubunifu na ndiyo mana unaona jiwe la tanzanite lipo hapo chini
Screenshot_20260708_214652_Google.jpg

Na hii ni kofia imewekwa hapo chini
Screenshot_20260708_235147_Google.jpg

Modernity, yn mawazo mapya.
 
Allianz Arena ilikuwa modern kipindi chake, na baada ya Allianz viwanja vingi vikaja na style ile hasa vya Africa, ila kwa sasa design yake imeshapitwa na wakati na ndiyo mana tunasema talanta design yake imeshapitwa na wakati.
 
So ukiambiwa useme reasons mbili why Arusha is more modern than Talanta unakasirika? Wewe ndio iko na reasoning za kitoto.
mbna mwanaetu kaelezea vizuri, umeambiwa arusha stadium has the most modern outside design in afrika wewe ulikua unaleta ubishi, akakuletea na mercedez benz stadium kuonyesha modern design zikoje wewe umekazia na design ya condom
 
Sasa hizi article si zimejaa kule Google mzee, kwn c hata ukiuliza ipi nchi ina usafiri bora wa reli kati ya Tanzania na kenya utaambiwa Kenya, kwasabu wakenya mme invest sn kwenye mitandao lkn ukija ground unakuta mambo ni tofauti.
Hata wewe umekubaliwa kuleta article inasema that Arusha is more modern than Talanta Stadium. Hapo umeambiwa Hadi reasons why Talanta is the most modern Stadium lakini bado unataka kupinga.

1000263680.jpg
 
Back
Top Bottom