Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yet no Stadium in Africa comes close to it in terms of modernity.
Screenshot_20260707-203754.png
20260708_212336.jpg

🖕
 
Sasa hawa hawajaendelea?

This is Qatar

View attachment 3625322

This Germany

View attachment 3625324
Hicho cha juu huoni kama ni balaghashia hiyo? Huo uwanja unaitwa Al thumama na ndiyo modernity tunayozungumzia, kama tanzanite stadium pale Arusha imejengwa mfano wa jiwe la tanzanite.
Hiyo ya chini ni Allianz Arena ndiyo hizo stadium ambazo design yake imeshapitwa na wakati ambapo viwanja vingi vya ki Africa vikaiga design hiyo.
 
Alianz arena is modern in facilities not the design, BTW hii swala la mpira unalielewa kwanza ama umekurupuka tu?
Ndiyo kitu nmemwambia hapo juu, hawa watu wakati mwingine huwa nashangaa reasoning zao kwakweli. Wanashindwa kuelewa vitu simple sn.
 
Yet no Stadium in Africa comes close to it in terms of modernity.
Sio modernity we jamaa, Allianz Arena ishapitwa na wakati bro, huwezi kusema Allianz Arena ni modern kuliko Arusha stadium utaonekana chizi, ila ukisema Allianz Arena iko more advanced kwenye facilities utaeleweka, hiyo ina facilities zooteee.
 
Sasa hizi article si zimejaa kule Google mzee, kwn c hata ukiuliza ipi nchi ina usafiri bora wa reli kati ya Tanzania na kenya utaambiwa Kenya, kwasabu wakenya mme invest sn kwenye mitandao lkn ukija ground unakuta mambo ni tofauti.
Uyo fala dont take sense to him, ni chokoraa, nshamwambia ALipie AI mpaka leo hana ela
1783543554695.png
 
Back
Top Bottom