Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,991
View: https://x.com/i/status/2074782217859961156 mkenya mwenye akili
Oil tankers will do docking there soon it will be the busiest port in Africa,,Asante Sana Dangote for trusting us,,,Sa hii nawacheka Sana walio Ita Lamu port a white elephant 🤣🤣🤣move on Middle east war has ended now look for anotherway you can use that cow shed
HongereniOil tankers will do docking there soon it will be the busiest port in Africa,,Asante Sana Dangote for trusting us,,,Sa hii nawacheka Sana walio Ita Lamu port a white elephant 🤣🤣🤣
Huu ni bora kuliko uwanja wa jamaa wa north.Huu wa kenya ni kama huu wa RwandaView attachment 3625280
😂😂😂 majengo ya hivi yapo kibao even in mbeya. Ni kagorofa kabaya kakawaida mno. Cheki mbeya hiyo these buildings are way better and beautful than whatever you posted. 👇🏾hii ni MbeyaNobody even knows this building. It's just a random building pale Westy na imekua hapo for sometime lakini ingejengwa kwa our Southern brothers ungekuwa unawaskia daily eti Blue Glass building blah blah. 🤣 🤣 🤣
View attachment 3625292
Iko vzrNobody even knows this building. It's just a random building pale Westy na imekua hapo for sometime lakini ingejengwa kwa our Southern brothers ungekuwa unawaskia daily eti Blue Glass building blah blah. 🤣 🤣 🤣
View attachment 3625292
Sasa hawa hawajaendelea?Yes, modernity inaanzia na shape ya uwanja, na ndiyo mana hakuna taifa lililoendelea kwa sasa linajenga uwanja design ya talanta.
Ok, list two features that make Arusha more modern than Talanta. Just 2 please.Bro najua hili suala limekuuma sana ila ndiyo ukweli, tunaposema modern tunaanzia nje, yn muonekano wake kwa nje, kwani ngoja nikuulize, kati ya old Trafford na talanta uwanja upi una facilities za kutosha? Mbona OT hauitwi ni modern stadium? Modernity inaanzia kwenye design, uwanja wa talanta design yake sio modern ila ni new stadium.
kazi kwenuOil tankers will do docking there soon it will be the busiest port in Africa,,Asante Sana Dangote for trusting us,,,Sa hii nawacheka Sana walio Ita Lamu port a white elephant 🤣🤣🤣
what else do you want to know to understand that ngong cowshed isnt modern
Fuatilia moja ya sharti la dangote aliloliweka nigeria kule,hamna oil tanker itakuja hapo,acha uvivy nenda kagoogle,sharti kama lile ni kichaa tu atalikubali,nigeria yuko mahakamani hukoOil tankers will do docking there soon it will be the busiest port in Africa,,Asante Sana Dangote for trusting us,,,Sa hii nawacheka Sana walio Ita Lamu port a white elephant 🤣🤣🤣
Alianz arena ina miaka 21 toka ijengwe,ni stadium ya kizamani
labda tumuelezee vizuri, 😂 😂 ni iviFuatilia moja ya sharti la dangote aliloliweka nigeria kule,hamna oil tanker itakuja hapo,acha uvivy nenda kagoogle,sharti kama lile ni kichaa tu atalikubali,nigeria yuko mahakamani huko
sasa wakenya wanaelewa mpira sasa mzee baba 😂😂Alianz arena ina miaka 21 toka ijengwe,ni stadium ya kizamani