Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,263
- 18,080
Darasa ulipitia kwelikweli ndugu yangu 🤣🤣🤣Uko wa Kwnyata ndio unaomiliki Kenya, Imagine the grandpa’s land grabbing legacy outplays the living in such statutory lawsuits haha, Familia ya Kwnyata ndio miongoni mwa Familia tajiri zaidi Africa.
Kwani unadhani nchi inaitwa kwa jina lake kwa Bahati mbaya , Kenya ni shamba la Kenyata ,
Ndio maana Tangu nchi imepata uhuru wa mchongo (Kenya bado ni koloni la Mwingereza, na marakani),
Nchi inaongozwa na makabila Mawili tu,
Gikuyu and Kalenjini. Huwezi kuwa rais kenya kama sio Mkikuyu au Mkalenjini.
Haya makabila mengine wakiwemo those silly Luos ni wapiga kelele na maandamano
Wewe lazima uwe kwenye lile kundi iliyoaminishwa kuwa wakenya hawamiliki hata chembe cha ardhi 🤣🤣🤣
Sometimes I wonder why Kenya lives rent-free in your minds this much! This obsession ain't normal 😂🤣