Bagamoyo port inahusiana na nin hapa wakati Ruto alikuwapo bungeni na Bi-mdashi alisema "nimembana bana huko" na Ruto akajibu. Si Ruto alipropose Tanzania; what went wrong?
Your mama is incompetent hii project ikienda Kenya.
Let's be real: Kikwete alifarakana na Kagame, na hata SGR ya mafuta pia ilimshinda kuanza kujenga waka-abandan kabisa SGR due to incompetence na akatiokoa madarakani wakati "coalition of the willing" imeshika hatam na pipeline toka Uganda tayari ikielekezwa Kenya na Magufuli akaingia Madarakani na kupindua meza za SGR na pipeline.
Nini kinamshinda?