Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,869
- 4,955
Kwa wale wanaouliza kuhusu gorofa kujengwa Dasilinga. Majibu hayo haya hapo. This one is 29 floors coming up at Upanga
1.
1.
Brush meno, kanye, ulale.Washagoogle sana hawajapata,hawana glass building hao maku ndio maana wanatapa tapa
Huenda hampigi picha which is understandable...but does it mean haziko pia kwenye news or even forums?Hivi nyie wakenya mbafikiri Dar hakuna majengo mapya yanayojengwa? Watu hawana muda tu wa kupiga picha hayo majengo.
What reasoning? Ni nini nimesema hapo ambayo ni uwongo?Mpumbavu ni mpumbavu tuu; we cannot change your reasoning.
Wewe umechelewa kuja mjini.Lucky to border Kenya . Hata roofing style si ya kitanzania … don’t be surprised some of those homes belong to Kenyans who cross the border for cheaper lifestyle like Americans do in San Diego by residing across the border in Tijuana ( living a dream of working for dollars and spending in pesos ). Imagine making Kenyan shillings but living in Arusha . You would be the king of your neighborhood..🤪🤪
Huyo ni fala. 😂😂😂Wewe umechelewa kuja mjini.
😂😂😂😂🙌if it ever happens daresalam mihogo farmers won't be able to hide their teeth...Why not export mihogo … it will keep the plane busy all week …🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Those are not 29 floors.Kwa wale wanaouliza kuhusu gorofa kujengwa Dasilinga. Majibu hayo haya hapo. This one is 29 floors coming up at Upanga
1.View attachment 3621495View attachment 3621494
Si umesoma.? Tafuta hiyo project uulizie iko aje.. au shule yako haikusaidii kitu.? 😂😂😂 stupid. Au umeumia kujua kama wanyabi tunakimbiza mwizi kimya kimya.?Those are not 29 floors.
Unahesabu mpaka basement? 😂😂
Nimehesabu floors.Si umesoma.? Tafuta hiyo project uulizie iko aje.. au shule yako haikusaidii kitu.? 😂😂😂 stupid. Au umeumia kujua kama wanyabi tunakimbiza mwizi kimya kimya.?
Bongolalas should be very grateful to Kenyans.Lucky to border Kenya . Hata roofing style si ya kitanzania … don’t be surprised some of those homes belong to Kenyans who cross the border for cheaper lifestyle like Americans do in San Diego by residing across the border in Tijuana ( living a dream of working for dollars and spending in pesos ). Imagine making Kenyan shillings but living in Arusha . You would be the king of your neighborhood..🤪🤪
Hili zuzu vipi.? 😂😂😂 just dowload the photo and put it to your google lens, they will tell you the details. Stupid.Nimehesabu floors.
Wewe hesabu, then report back hapa ni ngapi. 😂
New project coming up at Oyster bey View attachment 3621538hii nayo inakuja hapo masaki. 👇🏾View attachment 3621539and thisView attachment 3621542and thisView attachment 3621543and this View attachment 3621549and this View attachment 3621551and this View attachment 3621553and many more.. zimgine mkiulizia nitapost humu ..
Wajinga waliisha 😂Hili zuzu vipi.? 😂😂😂 just dowload the photo and put it to your google lens, they will tell you the details. Stupid.
None hata 18 floors … this what they build in county towns in Kenya. Hata some affordable housing in Kenya are taller than these ..Nairobi kama sio 25 floors or more at the moment is a waste of space and potential money…New project coming up at Oyster bey View attachment 3621538hii nayo inakuja hapo masaki. 👇🏾View attachment 3621539and thisView attachment 3621542and thisView attachment 3621543and this View attachment 3621549and this View attachment 3621551and this View attachment 3621553and many more.. zimgine mkiulizia nitapost humu ..