Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Buildings mbna zpo nyingi, izi small builsings hua hatuhesabu tunahesabu the modern sky skrapers za glass, kama na nyie mnayo yoyote toka kenya ianze ilete hizo tall glass buildings
Ziko wapi?usiniletee kina mzizima cz hizo ndio zilikua pamoja na kina lemac.in short hamna kabisa dar..you are dormant,nothing is going on .na infact mnafaa mshukuru your government kuwajengea hizo kina TPA ..your private sector NI kama haiexist...Kenya ziko countless zenye zinaendelea Bana...
 
Hapa kazi tu,
Is this something to be proud of?

What makes Kenyans this stupid and dumb??
It shows how a backward city dar vumbi is.
Very local fishing village.
Every international city has a China town. Bongolala bongobure huwezi elewa hii.
 
FB_IMG_1783007094322.jpg
FB_IMG_1783007068254.jpg
ns1.JPG
 
Men...hizi buildings karibu zote sijui zilitop up more than five years ago..time tunazipambanisha na kina UAp na kina britam huku Kenya izo Enzo,hebu nionyeshe yenye imeground break saa ii
Hawana hata moja wakati Westlands alone has more than 20 projects
 
Bongolalas wondering why these highrise projects are rising all over Nairobi and its environs like mushrooms and the same is not happening in Dar slum.

It's all about the growing middle-class and Kenyans' purchasing power. If you read that tweet, you see the project is already 80% sold off-plan. Yani hata groundbreaking haijaanza na wakenya washanunua units!

An investor wants a market where he's assured of ROI, and this is what Nairobi offers as opposed to that glorified fishing village
😂Washukuru sana serikali yao iliwajengea zile mitungi tatu of which are still empty and many of it's spaces are still unoccupied to date...otherwise without those three towers he thread inafaa ingekua Dar vs Eldoret.
 
😂Washukuru sana serikali yao iliwajengea zile mitungi tatu of which are still empty and many it's spaces are still unoccupied to date...otherwise without those three towers he thread inafaa ingekua Dar vs Eldoret.
Tunawaelewa wapumbavu wanaotuelezea habari za gorofa. 😂😂😂 ni wivu na chuki.
 
There you go again with the glass buildings crap...Nairobi keeps on groundbreaking new buildings almost every day,inasonga ikisonga na nyinyi bado mko hapo mnakwama na kusema glass buildings
Hivi nyie wakenya mbafikiri Dar hakuna majengo mapya yanayojengwa? Watu hawana muda tu wa kupiga picha hayo majengo.
 
Hivi nyie wakenya mbafikiri Dar hakuna majengo mapya yanayojengwa? Watu hawana muda tu wa kupiga picha hayo majengo.
😂😂😂Hamna kitu...dar iko Tu vilevile..picha zote NI hapo posta tu kwa hizo twin towers mbili na TPA😂
 
Ziko wapi?usiniletee kina mzizima cz hizo ndio zilikua pamoja na kina lemac.in short hamna kabisa dar..you are dormant,nothing is going on .na infact mnafaa mshukuru your government kuwajengea hizo kina TPA ..your private sector NI kama haiexist...Kenya ziko countless zenye zinaendelea Bana...
mbna kama unataka kulia
 
Back
Top Bottom