Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,856
- 4,910
This one 20 floors coming up at Upanga Dasilinga.
this is 18 floors wame lounch juzi kati tu
hii nayo inakuja Nkurumah Kariakoo pia ni 18 floors 👇🏾
hii pia ni 17 floors Upanga
hii nayo ni 17 floors pia at Upanga 👇🏾
hizi miradi za 15-20 floors buildings ni mingi sana hapa Upanga.