Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

New project coming up at Oyster bey View attachment 3621538hii nayo inakuja hapo masaki. 👇🏾View attachment 3621539and thisView attachment 3621542and thisView attachment 3621543and this View attachment 3621549and this View attachment 3621551and this View attachment 3621553and many more.. zimgine mkiulizia nitapost humu ..
Jamaa wana akili fupi sana. Imagine mtu anaamini Dar hakuna ujenzi unaendelea? Watu wanajenga mpaka tunalalamika malori yanaharibu barabara huku mitaani.
Watu wanakimbizana corridor za manispaa kubadili idadi ya ghorofa kwenye makazi ziongezwe ili wajenge majengo marefu zaidi halafu unakuta kima humu anafikiri majengo kuwa na ghorofa idadi fulani ni kukosa wapangaji au pesa.
 
None hata 18 floors … this what they build in county towns in Kenya. Hata some affordable housing in Kenya are taller than these ..Nairobi kama sio 25 floors or more at the moment is a waste of space and potential money…
And that’s why we tell you Nairobi sio rika yenu ..🤪
Sasa umeambiwa Dar kuna shortage ya space? Dar Kuna height restriction kwenye residential area acha ujuaji hasa kwenye vitu usivyobijua
 
Ingine hiyo. 👇🏾 sky royal at Mikocheni. 20 floors
IMG_6888.jpeg
Ndio hiyo 👇🏾
IMG_6893.jpeg
IMG_6894.jpeg
skyline ya Morocco imeendelea kuimarika.
 
Hiyo ni masaki, iko na height limit. Kama umeumia toa ujembe. To make it clear majoruty of the buildings coming up in Nairobi are either 10-15 or less kama tunavyozijenga Upanga, kariakoo, msasani, Masaki, Oyster bey, mikocheni n Kawe. 😂😂😂 usijipe umuhumu bure.
Hawa mbuzi hawajui permit na restrictions kwemye ujenzi
 
This one 20 floors coming up at Upanga Dasilinga.
IMG_6871.jpeg
IMG_6788.jpeg
this is 18 floors wame lounch juzi kati tu
IMG_6786.jpeg
hii nayo inakuja Nkurumah Kariakoo pia ni 18 floors 👇🏾
IMG_6832.jpeg
hii pia ni 17 floors Upanga
IMG_6864.jpeg
hii nayo ni 17 floors pia at Upanga 👇🏾
IMG_6863.jpeg
hizi miradi za 15-20 floors buildings ni mingi sana hapa Upanga.
 

Attachments

  • IMG_6864.jpeg
    IMG_6864.jpeg
    147.6 KB · Views: 24
Napemda design ya hii building. Comipng up at Nkuruma street Kariakoo Dar es Salaam. 18 floors building View attachment 3621734
Hii dwarf size, ata tuliacha kuhesabu Nairobi.
Tuko na hundreds this size already built and under construction.
Huwa tunatanganza 25+ floors. pekee.
The tallest kwa hizo umepost is around 16 floors.

Please stop driving your demio on the fast lane. Accept lane yako ni huko left, and join the likes of Burundi and Rwanda huko. 😂
 
Kuna hii na yenyewe ni ilibidi ijengwe only 13 floors at Mikocheni Dasilinga (kairuki rood). Lakini ikabadilishwa from 13 floors n now they are building 18 storeys .. from 👇🏾.. this was may 12
IMG_6857.jpeg
to this 👇🏾.. this is june 13th
IMG_6856.jpeg
.. hii point ya kuwa watu wanakimbilia kubadili floors of their proposed buildings ni story ya ukweli. @PRONDO
 
Hii dwarf size, ata tuliacha kuhesabu Nairobi.
Tuko na hundreds this size already built and under construction.
Huwa tunatanganza 25+ floors. pekee
Umia polepole ukisonga 😂😂 nikupee maji ya kunywa .? Umejaa ngori, kunywa maji mengi moyo uelee.
 
Back
Top Bottom