stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,318
- 33,837
inaonekana unaijua dar kuliko wanaokaa dar wenyeweHawana hata moja wakati Westlands alone has more than 20 projects
inaonekana unaijua dar kuliko wanaokaa dar wenyeweHawana hata moja wakati Westlands alone has more than 20 projects
Dar Vumbi ikitangazwa jengo 15+ floors, inawekwa BREAKING NEWS hapa.Hivi nyie wakenya mbafikiri Dar hakuna majengo mapya yanayojengwa? Watu hawana muda tu wa kupiga picha hayo majengo.
relax lady, utajinyonga sasa😂Washukuru sana serikali yao iliwajengea zile mitungi tatu of which are still empty and many it's spaces are still unoccupied to date...otherwise without those three towers he thread inafaa ingekua Dar vs Eldoret.
what elseDar Vumbi ikitangazwa jengo 15+ floors, inawekwa BREAKING NEWS hapa.
Umeandaa candle lakini?😂😂😂inakubalika kuumia pole pole bila kuturushia makamasi ... halafu haikosi ni wwe ndio ulikua una swing na wire za stima ukasababisha black out nchi nzima...View attachment 3620710View attachment 3620706View attachment 3620712
Hapa kazi tu,
It shows how a backward city dar vumbi is.
Very local fishing village.
Every international city has a China town. Bongolala bongobure huwezi elewa hii.
subiria iishe upost for now this is what you have
but your posting renders and not the actual building, subiria zikamilike ndo utupostie
What else can they do hawana glass building mpaka leoHivi nyie wakenya mbafikiri Dar hakuna majengo mapya yanayojengwa? Watu hawana muda tu wa kupiga picha hayo majengo.
au sio mwana etu, are you aware hizo hata soi the tallest, infact the tallest haipo apo😂😂😂Hamna kitu...dar iko Tu vilevile..picha zote NI hapo posta tu kwa hizo twin towers mbili na TPA😂
Mtapost mpaka nyumba za ghorofa tano? 😂😂Miradi mipya ya Znz U/C hii inatokea city center, sahii wana replace zile uswazis with these decent homes View attachment 3620718View attachment 3620719
😂😂😂😂kawaida ukiishiwa hoja
Tallest NI gani?au sio mwana etu, are you aware hizo hata soi the tallest, infact the tallest haipo apo
Endeleeni kujenga maduka sisi tunaendelea na ViwandaMtapost mpaka nyumba za ghorofa tano? 😂😂
Where are your big projects? Where are your upcoming tall buildings over 25 floors.
Go ahead, don't be afraid, you can list the both of them.
Here are 2 in Nairobi in case you missed.
View attachment 3620739
View attachment 3620740
sasa we binti kwan si ndo westlands apo ama tunawasingizia?😂😂😂😂kawaida ukiishiwa hoja
Tallest NI gani?
Si youtube na google unayo mzee alafu mbna nmeipost mda sio mrefu😂😂😂😂kawaida ukiishiwa hoja
Tallest NI gani?
Tafuta le Mac, prism,one afica palace, lornho, anniversary tower etcWhat else can they do hawana glass building mpaka leo
Tallest NI TPA wewe nuguSi youtube na google unayo mzee alafu mbna nmeipost mda sio mrefu
alafu unaonekana we ni mshamba ivi😂😂😂😂kawaida ukiishiwa hoja
Tallest NI gani?
unaona sasa ulivo mshamba, anyway ngoja tukuzimue kidogoT
Tallest NI TPA wewe nugu
This is the tallest building in East africaT
Tallest NI TPA wewe nugu