Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaeni Tu hapo mkingoja glasses ati ni standard.Nani alisema Ivo?Sisi wacha tujenge pit latrines na Nairobi inasonga ikisonga
angalia sasa usije ukadumbukia kwenye pit latrine maaana mnasonga uko
1783001742222.png
 
Of course..juu Kwanza Tanzania population nikubwa KULIKO Kenya..dar inawatu wengi KULIKO nai..so what did you expect..I would be really worried ingekua the other way round
kwahio ndo wamekwambia valuation ilikua inatumia data za watu wengi kumbe
 
Umeelewa kitu ninamaanisha kweli..why are you so rigid?
because your talking vitu ambavyo vya kijinga, who cares about chineese restaurant in Nairobi? People care about Quality of the buildings, nyie mnajenga vibanda vya juu alafu mnategemea nn
 
Dar beats many cities when it comes in making profit from the buildings, not sure of lagos but inaweza kupita lagos
When you come up with that answer ndio UTAJUA kwa nini population matters...Lagos is way ahead na bado hawana hizo buildings mnaita modern...
 
because your talking vitu ambavyo vya kijinga, who cares about chineese restaurant in Nairobi? People care about Quality of the buildings, nyie mnajenga vibanda vya juu alafu mnategemea nn
I give up ..sijui kama unajaribu kujizima data intentionally ama NIAJE..point yangu ilikua Tu wazi
 
Back
Top Bottom