saadeque
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 2,209
- 1,386
Hebu enda kule skyscrapercity uangalie kwa forum ya tz na Kenya .utaona vile mmekua dormant sijui for how long then compare to Kenya...Achana na izi ligi za kutafuta vipicha vya x vibayavibaya kumassage your ego..nyie bado sana, na sio tu kwenye buildings angalia sehem zote mfano stations zenu, stage za magari, offices nyingi ni low quality, check this kwa mfano! na apa ni town
View attachment 3620628