ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,427
- 85,266
Of coz uchumi supmkt ya Kenya ,tawi LA DarUchui ya wapi?kama ni Kenya nashuku sana...
Of coz uchumi supmkt ya Kenya ,tawi LA DarUchui ya wapi?kama ni Kenya nashuku sana...
duh! si humu tunadhani mmeshapata malaika...tunadhani pia amewamalizia kunguni waliokuwa wakiwanyonya pal serikalini na kuiba hela za nchi...ama wewe ni wa upinzani?Kitanda usichokilalia huwezi jua kunguni wake
hampendi wale honest...mnawashambulia na mikwaju na mawe....hahaha
ooooh kama ni tawi la Dar ni sawa...Of coz uchumi supmkt ya Kenya ,tawi LA Dar
Hii ni Lita 15 per day(morning na jioni)Unapata lita ngapi apo kijana, ni wewe kwenye acre tano Za chai na ng'ombe wa maziwa...good
Ukabila hauondolewi au kuletwa na socio-economic system Fulani Bali ni tabia na hulka ya kiongozi tuI have always said the ujamaa system was a waste of time...ubepari ndio una run dunia kwa sasa...ila pia ujamaa ukona faida aina mbali mbali, mfano, hamna ukabila kama sie...pia nchi inakaa kwa amani
Tatizo lako au lenu ninyi wakenya ni kwamba mnapima maendeleo in terms of Monetary only, lakini mambo ya msingi hamshughuliki nayo, sisi Tanzania tumefanikiwa sana kuliko nchi nyingi sana hapa Africa, kitendo cha kuanza kujenga umoja wa kitaifa, kuondoa ukabila, udini, tofauti ya vipato na utengemano na amani, mambo ambayo ukipita muda wake huwezi kuyapata tena. Uchumi bila hayo niliyotaja hauwezi kuwa endelevu, sasa hivi ni muda wa kujenga uchumi, hatujakosea popote katika hili, tungeanza na kujenga uchumi, tungekuwa kama majirani zetu ambao wananchi hawana uhakika na usalama katika nchi zao.😀😀😀😀just think of it...if you developed ur country during the 70s like SA did, Tanzania would have a pr capita of about 6000 dollars today...so yes, you have been sleeping like a bear during winter...
Iko poakama kweli ni wako
![]()
Nyie sio wafuatiliaji wa domestic story za Tzn so you are less informed tofauti na wabongo wengi wanafuatilia sana story za Kenya coz ni kama bench mark ya masuala mengi sanaduh! si humu tunadhani mmeshapata malaika...tunadhani pia amewamalizia kunguni waliokuwa wakiwanyonya pal serikalini na kuiba hela za nchi...ama wewe ni wa upinzani?
hahaaha diamond can't stop teasing his haters especially kenyans. this is too much now.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
btw how many kenyan celebrities have houses outside kenya?.![]()
![]()
![]()
These women can make at least $100 per day, just because are citizens of Lower middle income country, with biggest GDP, hapo wamepumzika tu, sio kwamba wanashida yoyote hao.
hehehe ukweli gani anaongea huyo mkenya tangu lini mkenya akasifu tanzania😀😀😀😀kwan umepigwa na butwaa??? kuna watu wanaoamua kuzungumza ukweli badala ya blind patriotism...
i agree with you, kikwete failed us big time.his humbleness didn't help a thing in lifting our economy.but lemme just say kikwete kind of wasted you guys....Magufuli hataki mchezo lakini
Like means yeswewe ni mtanzania ????
hehehhee msikieni huyu mkenya anae act as a tanzanian😀😀😀😀😀😀😀Nyie sio wafuatiliaji wa domestic story za Tzn so you are less informed tofauti na wabongo wengi wanafuatilia sana story za Kenya coz ni kama bench mark ya masuala mengi sana
We sio mtz bwana acha kujichocha ...watz tunajijua hebu acha maigizo yakoNyie sio wafuatiliaji wa domestic story za Tzn so you are less informed tofauti na wabongo wengi wanafuatilia sana story za Kenya coz ni kama bench mark ya masuala mengi sana
hehehe unajifanya nawewe pia mtanzania😀😀Like means yes