Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How we boss East Africa ....hahaha
039cb41d79f9cd98d333d63361937ac8.jpg
 
Annael ur heroes waache hao wehu hawataki kuleta vividly evidences instead wanapuyanga tu. Dar is the best
 
heheh mimi nilimchunguza nikawa nishajua sasa ajaribu njia nyingine hii imeshtukiwa😀😀😀😀😀
mmh haya,mistakes za kiuandishi kutokana na mother language, afu nijipendekeze ili iwaje,kuna wabongo wengi tu wenye rafudhi za kikenya mbona
Karibu wakuu Sumbawanga huku
 
mmh haya,mistakes za kiuandishi kutokana na mother language, afu nijipendekeze ili iwaje,kuna wabongo wengi tu wenye rafudhi za kikenya mbona
Karibu wakuu Sumbawanga huku
wewe tafuta gear nyingine hii ime fail budaa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Tatizo ni sipendi unafiki na kushupalia uongo ndo maana somehow na maoni tofauti na watanzania mulio wengi humu
Nyie mumeanzisha ligi hasaa yaani,mko tayari kuvimba mishipa na kujitutumua hata kama mnajua mnatetea uongo ili tu kuonyesha kwamba mambo ni poa,sasa hiyo hulka mimi siwezi
Natoa credit panapostahili na kupinga napoona sio sawa,mm sijarishi upande
just be free with your views, nobody is against you.

you are not the first tanzanian(imposter) to come up with negative opinions about our country, many of your type came,said the same thing and left.
 
mm hunidanganyi labda uwafunge kamba wengine nimekujua kitambo wewe ni mkenya sasa usije jiona unaakili sana tupo wenye akili zaidi yako wewe😀😀😀😀😀😀😀😀 labda ujaribu njia nyingine hii ume fail
Nikudanganye afu nifaidike na nini,hata nikikwambia ukweli unataka wewe hainisaidi.So just believe kile unachoamini ni ukweli then tuendelee na kuchangia
 
yaani mmekuwa mkilala...Tanzania should be ahead of South Africa today....SA kuna mahali kumekauka sana...hawana mlima mrefu kabisa barani,...hawana pia wanyama pori kiasi mlio nao...kwa hiyo, tukubaliane tu kwa hili, watz mmekuwa mkilalia masikio yenu kwa muda mrefu sana...angalau Magu ameamsha engine ila its too late...watu kama SA wapo mbele sana hamuwez kuwafikia kamwe...Kenya pia na ukame wa kaskazini tupo mbele ynu kiuchumi
Hata TZ kanda ya kati kuna hali ya jangwa pia. Sio kila sehemu inalimika chakula. Kuna zone special hasa kusini ndo zinalisha nchi nzima.
 
mmh haya,mistakes za kiuandishi kutokana na mother language, afu nijipendekeze ili iwaje,kuna wabongo wengi tu wenye rafudhi za kikenya mbona
Karibu wakuu Sumbawanga huku
ni lafudhi siyo rafudhi.
wewe ni mtanzania wa mkoa gani?. nina mashaka na elimu yako.
 
Back
Top Bottom