Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Achana nayo, its a good deal from rwanda nothing would have been done apo since hatuna pipeline inaenda upande wa rwanda

Alafu hio mbna tuna biashara nyingi tu na rwanda, uganda, congo hapo hujaanza kudeal na SADC
 
Hehehe, Kumbe mnamezea mate Kenyan infrastructure nanmnajifanya hapa eti ni poor quality.😂😂
So hiyo ipo kenya tu!uganda hawana?maku interchange ya imeanza kutengenezwa miaka ya 1920 huko,unavyoongea kama kunyan ndio pioneer wa interchange duniani 🖕
 
Inabidi Samia acheze karata zake right atafute funds za Isaka-Uganda border kum-convince M7 abadili mawazo!
Hilo ni kama kumsukuma mlevi au kupiga punda teke kwenye mteremko maana hakuna funder atakaye finance kipande cha Kenyan SGR wakati kuna efficient rival rail nearby hahutaji kuwa rocket scientist kujua hilo ndio maana mpaka leo mchina kagoma halafu hawawezi wakapata funder mwingine nje ya china kwasababu financing mechanism waliyoitumia haiko poa imelalia kwa wachina sana hivyo ni risk kwa funders wengine kuweka hela except wachina tuu.
 
So nmeifuatilia and here is what am told:

So here is how the new deal will be, Oman sends refined oil to MOmbasa and then Mombasa pumps it Via Pipeline ambayo inaishia around Eldoret, so mean Rwanda watakua wanaenda kuchukulia Eldoret which cuts the journey time ya zile trucks instead ya kwenda staright mpaka dar, watakua wanachukulia border pale karibu na Uganda(Which is pretty ok as it saves cost kuliko kusafiri from kigali upite kigoma straight mpaka dar by truck)

To rwanda side its a good deal and there is no need to feel bad about them, However remember Kenya pipeline is owned by Uganda so its basically Uganda profits
Nicxie uwe unasoma na kuelewa
 
Nilichogungua ni kwamba minyamwezi hawaelewi kinachoendelea hapa
G 2 G agreement ilikuwepo na bado Kenya walikuwa wanapitisha mafuta kidogo tuu ya Rwanda sasa kinachokuaminisha kwamba Rwanda watahamishia 70% ya mafuta yao kupitia kenya ni nini?
 
Hilo ni kama kumsukuma mlevi au kupiga punda teke kwenye mteremko maana hakuna funder atakaye finance kipande cha Kenyan SGR wakati kuna efficient rival rail nearby hahutaji kuwa rocket scientist kujua hilo ndio maana mpaka leo mchina kagoma halafu hawawezi wakapata funder mwingine nje ya china kwasababu financing mechanism waliyoitumia haiko poa imelalia kwa wachina sana hivyo ni risk kwa funders wengine kuweka hela except wachina tuu.
sgr ya uganda and tanzania will connect together, pia uganda and congo will have to connect together also kwa ajili ya kurefine madini ya congo!

so it goes this way, Congo sends it to uganda for refinery and uganda moves it to tanzania final product. Hata ivo passengers from Uganda can travel one way to dar because zote ni electric, also goods will be the same, wafanya biashara wa uganda watachagua wenyewe wap wanapata bei nzuri
 
Back
Top Bottom