stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,278
- 36,499
sgr ya uganda and tanzania will connect together, pia uganda and congo will have to connect together also kwa ajili ya kurefine madini ya congo!Hilo ni kama kumsukuma mlevi au kupiga punda teke kwenye mteremko maana hakuna funder atakaye finance kipande cha Kenyan SGR wakati kuna efficient rival rail nearby hahutaji kuwa rocket scientist kujua hilo ndio maana mpaka leo mchina kagoma halafu hawawezi wakapata funder mwingine nje ya china kwasababu financing mechanism waliyoitumia haiko poa imelalia kwa wachina sana hivyo ni risk kwa funders wengine kuweka hela except wachina tuu.
so it goes this way, Congo sends it to uganda for refinery and uganda moves it to tanzania final product. Hata ivo passengers from Uganda can travel one way to dar because zote ni electric, also goods will be the same, wafanya biashara wa uganda watachagua wenyewe wap wanapata bei nzuri