President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,631
- 94,237
Kipindi cha CoW ulikuwa na miaka mingapi? Tuambie mliishia wapi?
Kipindi cha CoW ulikuwa na miaka mingapi? Tuambie mliishia wapi?
Nkikumbuka zile propaganda zao za mwanzo 🤣Hii kitu inawauma sana wakenya - The East African Crude Oil Pipeline Project (EACOP)
View attachment 3618646
View attachment 3618647
View attachment 3618648
View attachment 3618649
View attachment 3618650
Ila hii Rwanda kusaini Gov to Gov deal si jambo zuri kwetu! Tumelala!Nkikumbuka zile propaganda zao za mwanzo 🤣
Uganda is connecting to both Tanzania and Kenya, however prices will determine wafanya biashara watatumia route ganInabidi Samia acheze karata zake right atafute funds za Isaka-Uganda border kum-convince M7 abadili mawazo!
sasa si bado mpaka AugustIla hii Rwanda kusaini Gov to Gov deal si jambo zuri kwetu! Tumelala!
See? Just said hamtawezana, ona sasa ushafikiria sio ya Kenya😅 na bado, zipo nyingi 😅😅You are just a clown unatuwekea pantoon hapa na kuiba picha ya meli za watu unafikiri sisi ni wajinga kama nyie.
halieleweki majani ni ya orange am green 🤣 🤣 imebidi waanze kumwagilia na vikombe sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nakumbuka na wao walitembelea sana angle flani ya Ben Mkapa Stadium. Kumbe hata dude lao lina angle sura mbovu 🤣 Ama Kweli.
Kaka usidanganywe. Hii issue walikuwa nayo tangu zamani. Rwanda alitishia kusitisha mkataba huo ndio maana wanekuja juu na kupigia makelele.Ila hii Rwanda kusaini Gov to Gov deal si jambo zuri kwetu! Tumelala!
Railways Terminus right here
The deal is Rwanda and Oman kuuziana mafuta, before rwanda walikua wananunua kupitia brokers wa kenya so there was so added profits in the price
Nakumbuka kipondi cha Kikwete kulikuwa na mradi wa pipeline kwenda Mwanza kampuni ya Canada ghafla mwanamama wa kiarabu Noor Oil of Qatar in 2006 akaunyakua! The rest is history!So nmeifuatilia and here is what am told:
So here is how the new deal will be, Oman sends refined oil to MOmbasa and then Mombasa pumps it Via Pipeline ambayo inaishia around Eldoret, so mean Rwanda watakua wanaenda kuchukulia Eldoret which cuts the journey time ya zile trucks instead ya kwenda staright mpaka dar, watakua wanachukulia border pale karibu na Uganda(Which is pretty ok as it saves cost kuliko kusafiri from kigali upite kigoma straight mpaka dar by truck)
To rwanda side its a good deal and there is no need to feel bad about them, However remember Kenya pipeline is owned by Uganda so its basically Uganda profits