Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wacha ku-cram mambo!
Kukariri umekariri ww unaejaji vitu kikada,nashukuru nimetembea nchi nyingi za europe na bado natembea,lile daraja la jangwani ni uchafu kuwepo katikati ya mji,hao maengineer wetu mazezeta ndio wale wale walioweka zebra kwenye highway ya kimara kibaha bila aibu wakaweka tena speed limit 50 kwenye highway,juzi umeme unakatika nchi nzima kwa zaidi ya masaa 3 bado serikali inatoka kusifia mitambo eti ya kidijitali ilijizima baada ya kugundua tatizo,lile ndio lishapita hamna mtu atakaewajibishwa,guys its 2026 TZ tuachane na issue ya ukada,kwenye kusifia tusifie palivyovurundwa tukemee
 
Tanzania haifanyi kukufurahisha wewe. Wengine wakipenda inatosha.
 
JNIA huko Nairobi hebu tuonesheni

1782719247751.png
 
Sio obsession, tunaita 'Class'. Kioo kinaonyesha reflection ya maendeleo, ninyi kila jengo lina rangi ya udongo utadhani mko katikati ya vumbi. Nairobi haina view kabisa.
There's nothing classy in having glass buildings in a tropical climate like Dar's. It is purely ignorance. The effects of glass building on the environment and power costs in tropical climates have well been documented. But you are a bongolala, how would you know that! And how does a glass building reflect maendeleo ya mji? Usiongee just for the sake of it, pasi na uelewa.

Talking of glass buildings and views, Dar has about four or five glass buildings. How does that reflect on "maendeleo" in a city with hundreds of brick and mortar buildings? This is central Dar slum. How many glass buildings are in this frame?
images - 2026-06-29T091145.311.jpeg

Unavyoongea na kutaja glass buildings, an outsider from this region would think this is how Dar skyline looks like.
tower-1-second-tallest-skyscraper-in-germany-233-m-764-ft-v0-py0rjl01t18e1.jpg
 
Nairobi might have its fair share of challenges but I don't think there's a city in this region that can beat it in residential neighbourhoods.
Look how organized and serene Lavington is
-5-bedroom-villas-with-dsq-for-sale-in-lavington-0yzvi.jpg
images - 2026-06-29T013056.681.jpeg
images - 2026-06-29T012848.595.jpeg
images - 2026-06-29T012636.685.jpeg
images - 2026-06-29T013737.409.jpeg
images - 2026-06-29T013032.448.jpeg
images - 2026-06-29T011023.285.jpeg
18787a15-2391-49f6-af47-340e2b2c4208.jpg
images - 2026-06-29T011140.701.jpeg
beautiful-estate-nairobi-kenya-african-continent-environment-africa-beautiful-estate-nairobi-2...jpg
images - 2026-06-29T011500.560.jpeg
images - 2026-06-29T010314.900.jpeg
images - 2026-06-29T011250.693.jpeg
images - 2026-06-29T011100.787.jpeg
 
There's nothing classy in having glass buildings in a tropical climate like Dar's. It is purely ignorance. The effects of glass building on the environment and power costs in tropical climates have well been documented. But you are a bongolala, how would you know that! And how does a glass building reflect maendeleo ya mji? Usiongee just for the sake of it, pasi na uelewa.

Talking of glass buildings and views, Dar has about four or five glass buildings. How does that reflect on "maendeleo" in a city with hundreds of brick and mortar buildings? This is central Dar slum. How many glass buildings are in this frame?
View attachment 3618180

Unavyoongea na kutaja glass buildings, an outsider from this region would think this is how Dar skyline looks like. View attachment 3618177
Unalilia nini sasa mdogo wangu. Hii Sentensi umeandika ya uongo "Dar has about four or five glass buildings". Je, upo tayari tukuwekee Glass Buildings from Dar es salaam?
 
Back
Top Bottom