Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,311
- 18,150
Elevator kwani ni shopping mall?mbona usiwe na elevator?
Elevator kwani ni shopping mall?mbona usiwe na elevator?
Sasa wewe ndio unatuamulia jina la uwanja wetu?Nazungumzia jina la uwanja wewe unaanza tena mambo ya lifti. Wapi na wapi?🤣
Sio mimi, ni Kipchirchir Ruto rais wenu. Mbona unajifanya kama hukumsikia?😁Sasa wewe ndio unatuamulia jina la uwanja wetu?...
Misaada ya kilaghai hiyo ili kutuliza hasira za waafirka.Na misaada tunayopewq na nchi za ulaya inatokana na wizi pia?
Kenya imejengwa sakafu ya cement. Hakika wakenya ni vituko.Hii yenu iko hata na lift? Yani uwanja hata lobby haina. Unaingia ndani the first thing unakutana nazo ni viti. Hujui kama uko ndani ama uko nje 😂😂😂View attachment 3618334View attachment 3618335
Talanta entrance (they are 8 like this)
View attachment 3618339View attachment 3618346View attachment 3618347
Embu msituwekee hizo picha za ukunduni hapa zinatutia kinyaa 😒somehow it made to the city status
View attachment 3617953
It will be absurd for Uganda to start constructing its part to Malaba before Kenya starts hers. The only possible option is to reroute the line towards Tanzania and Rwanda, as the TZ SGR is already near the borders of Rwanda, Burundi, DRC, and UG.
voted as second ugliest on earth 🤣Embu msituwekee hizo picha za ukunduni hapa zinatutia kinyaa 😒
These are electric trains, you have no idea about. It happens all over the developed part of the world.
SGR ikianza kwa Mwanza na Kigoma ndio kabisaa itabidi ukate ticket a month early.Na yenyewe bado kimbembe, usipokata mapema umeisha