Lakini sasa apa whats there to compare na wale slum citizens,
View: https://youtube.com/shorts/CCwzvk-dndI?si=12oeJo-vnAFXotG9
But our seats are more comfy for the commuter train than their intercity SGR 🤣🤣🤣Hiyo ni MGR ilijengwa na German ni ya zamani sana since 1899
Hauoni hizo jets ziko maonesho. These are old, out-of-service jets.😂😂😂the audacity🙌... kama f-5 ni reject hii tutaitaje , can this pieces of rusted shit even fly?👇👇View attachment 3617297View attachment 3617298View attachment 3617299View attachment 3617300
Na yenyewe bado kimbembe, usipokata mapema umeishaDuh abiria ni wengi sana mpaka wanafunga units 2
Tuseme $1.2B na hakuna kuangalia uwanjaNiko kwenye skybox hapa sioni touchline wala 1st linesman hata technical benches sizioni duh na nimelipa hela nyingi kwa ticket. I am very close to the middle of the pitch😁
Nairobi hawajui maaana ya glass buildings, majengo yao yamekaa kama yamerushiwa zege
China exited funding it. Its so ugly its unfortunate the train was done as a project from high school chineese studentsHow can you sleep like that on a short journey unless that thing is sluggish and kwa emptiness hiyo na diesel ilivyo juu SGR loan itakuwa ni mzigo mkubwa sana na hasara kwendesha passenger services.
Samia ashasema ni mikwaju tuNi ukweli mchungu ila hawatasikia wacha waendelee hivyo hivyo sisi tutajenga ukuta border ya TZ na Kenya mambo yakishawaharibikia huko kwa kukaza fuvu
Msigwa alisema kwa hili ya pamoja AFCON wamejifunza, hivo kila mtu next time ajipambanieBila shaka hapa hela ya majani ilipigwa tuseme tu ukweli maana walianza kupanda wao nyasi wakati Arusha stadium ikiwa 35% something is seriously wrong here.
Hao nyangau ukiwambia hii michezo tunaiweza wanakuwa wabishi mno lakini uzuri huwa tunawaambia hapa jukwaani waziwazi ila wanakaza mafuvu tuuMambo yana anza kuivaa pole polee... Tajiri amekuja tenaa... Tanga hoyeeee...
View attachment 3617514
Alisema wataalamu ndio wataamua location ya refinery sasa kaja nao pia katika ujumbe wake.Hii inamaana gani?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
View attachment 3617562
View attachment 3617563
View attachment 3617564
View attachment 3617567
But our seats are more confy🤣🤣🤣But our seats are more comfy for the commuter train than their intercity SGR 🤣🤣🤣
Acha kudanganya watu, ulaya ilijengwa kwa wizi na kutumia watumwa. Siyo kumchamba malkia ElisabethWenzetu ulaya na amerika pale walipofikia kwa sababu wanakosoana na wanawajibishana panapo makosa,sasa nyie mnaoangalia interest zenu tu hata kuna kitu kinaenda ovyo,mnakosea sana,huo mrija wa neema uliopo usidhanie mjukuu wako nae ataunyonya,wenzetu wametengeneza nchi zao kwa ajili ya vizazi na vizazi vyao vijavyo
Na misaada tunayopewq na nchi za ulaya inatokana na wizi pia?Acha kudanganya watu, ulaya ilijengwa kwa wizi na kutumia watumwa. Siyo kumchamba malkia Elisabeth
Hii yenu iko hata na lift? Yani uwanja hata lobby haina. Unaingia ndani the first thing unakutana nazo ni viti. Hujui kama uko ndani ama uko nje 😂😂😂U
Wewe jaluo heshimu rais wako Kipchirchir Ruto alishasema hiyo inaitwa Raila Odinga stadium. Umebaki sijui Talanta sijui nini; upuuzi mtupu🤣