Huu uwanja mbn bado haujaanza kutumika na umeshachoka namna hii?instead of growing panazidi kua jangwa
View attachment 3616784
Aiseee wakenya mbn wanataka kutuaibishaapa ni only prayers
View attachment 3616790
apa ni maombi tu hakuna namna, wameanza hadi kumwagilia na vikombe sasaAiseee wakenya mbn wanataka kutuaibisha
si unajua tena ukijenga kwa mkopo alafu hauna dalili za kulipaHuu uwanja mbn bado haujaanza kutumika na umeshachoka namna hii?
Another symptom of lack of exposure…. If you know you know …🤣🤣Hakuna coast guard? Na navy ya TPDF ni nn?
mshamaliza mourning? or kuna maadamano mengine yanakuja?This what we are talking about …. Forget about the ban on public assemblies, You see how you got the balls to post this about Kenya yet you wouldn’t in similar circumstances in TZ … you know you would be arrested for incitement against public servants and government … so enjoy the freedom that we offer you on a silver platter…You are welcome 🙏….🤪🤪