kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,212
- 5,289
Hivi hawa wakundustan washawahi jiuliza siku tukiamua ku issue IPO za kampuni kama TANESCO na TRC itakuwaje ? Tanesco Inaweza kuja kuwa ndo kampuni yenye mtaji na dhamani kubwa kuliko zote
Itakuwa flop vile vile kama your previous IPOs.
Amini usiamini, Bongolala is an LDC with no money.
Kenya Power Revenue 2025 - $1.72 Billion
Tanesco Revenue 2025 - $900 Million