concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Ndo maana unaambiwa wewe ni mjinga , umeme ukipitia katikati ya nchi Ina maana utakuwa na vituo vichache vya kupozea umeme na km chache za kusafirisha umeme.Bongolala: The first country on earth ambapo watu wanaendea umeme kwa highway.
The aliens are coming to study how you did it.
Hawahitaji last mile connections, which explains why their numbers are so low.
Badala ya kuhitaji network mbili za kv 220 kusafirisha umeme na kuwa na vituo viwili vya kupokea utakuwa na network moja ya kv 400 na kituo kimoja Cha kupozea , na Tanzania umeme unapitia kwa barabara theni wewe ndo unavuta kwenda nyumbani kwako kutoka kwa low voltage network.
Point ilikuwa hatuna uwezo wa last connectivity , sasa inakuwaje Tanzania ndio inaongoza kwa rural electrification kwa nchi za east Africa huo umeme unafikaje . 98% ya viji vya Tanzania viko na connectivity, je huo umeme umefikaje?🤣🤣🤣🤣
Kumbuka umeme wa vijijini ni low voltage