stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,195
- 33,782
kwan hamna watu wanaiona kibera wavisit? hata president wao nae kaja tz
View: https://www.instagram.com/p/DZvAGk5jTWF/
View: https://www.instagram.com/p/DZvAGk5jTWF/
Hawa mbuzi wanapenda sana kujipa umuhimu. Viherehere kama ushuzi wa ngomani.
Huwa mnajiona Kama Malaika vile na nyie binadamu tuu tena wale wa ovyo.View attachment 3611538
Bro hao watu ni viherehere balaa,huwezi kukuta post ya star flan yupo kenya halafu Watanzania wakaleta shobo kama hizo,ila sasa kunyan uwa awakauki kwenye post za star aliyepost akiwa TZ,kunyan wanataka wajiinvolve katika kila kizuri cha TZ!
First and foremost, KETRACO is a state corporation owned 100% by the government of Kenya, just like other state corporations. It is the ONLY company in Kenya mandated to transmit high voltage electricity in the country. Where did you read that the government only owns 37% of KETRACO?Kwanini tuhitaji kuwa na manyaya mengi wakati tunaweza safirisha kwa high voltage kubwa kuliko imagine 400kv Tanzania ni 1500+ km versus kenya 1020View attachment 3611419
Ebu angalia network ya Tanzania ilivyo comprise na hapo ni 100% government owned wakat Kenya 37% ya grid transmission ndo Iko chini ya serikali.
🤣🤣🤣🤣
View attachment 3611420
Yaan Kenya inamilikiwa na corporates kwa kweli , unajisifia distribution network ambayo serikali haimiliki hata 3000km 🤣🤣🤣🤣
why are you explaining too muchFirst and foremost, KETRACO is a state corporation owned 100% by the government of Kenya, just like other state corporations. It is the ONLY company in Kenya mandated to transmit high voltage electricity in the country. Where did you read that the government only owns 37% of KETRACO?
View attachment 3611575
Secondly, about existing transmission infrastructure, while you floss about Tanzania having 64 substations, I would like to remind you that Kenya has 83 high and medium voltage transmission substations and approximately 52 primary/distribution substations. That's a total of 135 substations (more than twice your number)🤣🤣.
I don't want to go into much details here but kitu mnafaa kujua ni kwamba we are way ahead of you in this sector.
mmeandaaa gari za usafiri wa wachezaji lakini? sio moroco wanaenda uwanjan na isuzu ujue hatutaki aibu
View: https://youtu.be/Y82Y3D1sGl4