Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Btw yourr anked 10th in most extremely poor nations, there is nothing you can talk to someone who isnot poor and it will make sense
Tumia tu kiswahili Nyamwezi
Screenshot_20220501-110859~2.png
 
Kaka hata usafiri wa mambasi Tanzania inaongoza. Sababu kuu ni kwamba:

Tanzania ni kubwa kijiografia (karibu mara mbili ya ukubwa wa Kenya). Miji mikuu ya kiuchumi ya Tanzania imetawanyika pembezoni mwa nchi (Mwanza, Arusha, Mbeya, Kigoma, Bukoba). Ili kuunganisha miji hii na Dar es Salaam, mtandao mkubwa sana wa mabasi unahitajika.

Nchini Kenya, asilimia kubwa ya miji mikuu na idadi ya watu ipo kwenye ukanda mmoja mfupi wa kijiografia kutoka Mombasa, Nairobi, hadi Kisumu/Eldoret.
Hapo Kila siku shabiby na kadhalika zinatoka zikiwa full.
Yaan ukichukua mabasi yanayo operate mwanza -dom-dar na dar- mbeya- tunduma , ndo idadi ya mabasi nchi nzima ya Kenya🤣🤣🤣
 
sasa wewe unajua nn dunia hii, mpaka leo hujui tafauti ya skybox na lounge, na wazazi walitoa ela kabisa kupeleka kijana shule
Skybox ninayojua ni hii hapa.
images - 2026-04-20T181301.401.jpeg

At least hela ilitumika vizuri shuleni
 
Never underestimate the ability of a bongolala to remain poor, malnourished, LDC and empty brain.
You have more arable land than Kenya and Uganda combined, yet landlocked Uganda is now the second largest economy after overtaking you.
You are still receiving food aid from desert Qatar.

If bongolala was the size of Kenya, with as few resources and fertile land as we have, Burundi would have a bigger economy than you.
Nadhani na wewe njaa inakukera ndio maana umeandika hotuba. Njaa ni mbaya, tatueni issue ya njaa ndio mje na hoja hapa JF
 
Back
Top Bottom