Hakuna kitu unamiliki wewe mbilikimo, ama unadhani ile siku air tangagiza itatengeneza faida utapewa share. 😂 😂 😂 Hizo Russia na China unajicompare nazo their top airlines are not 100% owned by the government plus wakona private airlines nyingi. Wewe huna hata a single share kwa Air tangagiza na unajipiga kifua eti unamiliki nchi yenu. 😂😂😂Tunamiliki nchi yetu 100% unatuita wanyonge .? Elimu hii ulisomea wapi mzee.? Kwamba kumilikiwa uchumi na foreingers ndio ukomavu.? 😂😂😂 you are really stupid
Sisi ni kama
China
Iran
Russia n.k
Sisi ni type ya mataifa hayo hapo juu.. tofauti yetu na wao kwasasa ni uchumi, wao walishajipata .. ila sisi ndio tunajijenga.