Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂” ata hizo nyumba zenyewe wanauzia wakenya units” kuna mkenya anaeishi humo.? Nyie mnafurahia kuziona na kupiga picha tu, tunawajua mnapoishi nyie viazi.

Mnauza ardhi kwa wageni mafala, sheria yenu inaruhusu mgeni kumiliki ardhi jumla ikiwa tu kuna mkunya mpumbavu mmoja ana hold share, probably viongozi wenu wameongoza kwa kuuza ardhi yenu kwa 2% shares or less. 😂😂😂

Sisi hatumpi mgeni ardhi mjomba. 😂😂😂 na ndio mana wanakimbilia kwenu huko. Endeleeni kuuza nchi mafala nyie.

Kinachowaondoa wachina Tz kuwekeza nyumba za makazi ni sera zetu, sio chochote .. hakuna kitu mnatuzidi nyie punda labda kelele tu mitandaoni.

Misingi ya uanzishwaji wa Tz ni uhuru na kujitegemea. Huo ndio mwanya unaowaleta wawekezaji kwenu. Na ndio maana uchumi wenu unamilikiwa na foreigners, wakishindwa kuendesha sasahivi wanatuuzia waTz. 😂😂😂
Land is leasehold in Kenyan urban areas Prof. Bongolala. Haijalishi unaleta Wakenya wangapi. Ata ukuje na Chief.

Alafu, najua kutoka LDC Dar vumbi ni ngumu kuelewa hili.. All of these apartments are usually 100% sold by completion. Many reach 75% sold during excavation.

Mfano hii project Syokimau ukitaka apartment hapa ngoja phase 2.

View: https://www.youtube.com/shorts/VWjg69hjlE4
 
Mfano hii project Syokimau ukutaka apartment hapa ngoja phase 2.

View: https://www.youtube.com/shorts/VWjg69hjlE4

Kwanza mtu alitoka kibera akalipia 3M upfront kuhamia sio 🤣🤣🤣 where do i press to get these more jokes
 
Land is leasehold in Kenyan urban areas Prof. Bongolala. Haijalishi unaleta Wakenya wangapi. Ata ukuje na Chief.

Alafu, najua kutoka LDC Dar vumbi ni ngumu kuelewa hili.. All of these apartments are usually 100% sold by completion. Many reach 75% sold during excavation.

Mfano hii project Syokimau ukitaka apartment hapa ngoja phase 2.

View: https://www.youtube.com/shorts/VWjg69hjlE4

Iwe zinauzika au haziuziki mimi hilo sitaki kujua, lofa wewe. 😂😂😂 suala ambalo lipo wazi ni kwamba tunawajua wanunuaji wa hizo apartments na tunajua average kundurendans mnapoishi.

Anyways nyie endeleeni kufurahi kuzipiga picha na kupost humu. Sio mbaya, kwani kuna ubaya gani.? 😂😂😂
 
This is not a street in Florence, Italy. President of China .
This is Syokimau, Nairobi 😂😂😂

View: https://www.youtube.com/shorts/c6ArZi_87wU
 
😂😂 Shinda hapo.
Ile siku mtapata spending power mtajengewa pia 😂
 
This is not a street in Florence, Italy. President of China .
This is Syokimau, Nairobi 😂😂😂

View: https://www.youtube.com/shorts/c6ArZi_87wU

mwambie uyo hajui nairobi

1781865543402.png
 
Back
Top Bottom