Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sahii SGR inasafirisha abiria 11,000 kwa siku, halafu ndio kwanzaa haingunishi miji miwili mikubwa Tz yaani Dar- Mwanza. 😂😂😂 bongo watu wanasafiri usivyojua wewe.
View: https://www.instagram.com/p/DZvEIVOjGAq/?img_index=2&igsh=Mjg0b2Q5YTlzMnM3.

Kaka hata usafiri wa mambasi Tanzania inaongoza. Sababu kuu ni kwamba:

Tanzania ni kubwa kijiografia (karibu mara mbili ya ukubwa wa Kenya). Miji mikuu ya kiuchumi ya Tanzania imetawanyika pembezoni mwa nchi (Mwanza, Arusha, Mbeya, Kigoma, Bukoba). Ili kuunganisha miji hii na Dar es Salaam, mtandao mkubwa sana wa mabasi unahitajika.

Nchini Kenya, asilimia kubwa ya miji mikuu na idadi ya watu ipo kwenye ukanda mmoja mfupi wa kijiografia kutoka Mombasa, Nairobi, hadi Kisumu/Eldoret.
 
Sisi tukiruhusu wachina wamiliki ardhi za kujenga makazi yao hawawezi kuja huko we fala. 😂😂😂 usidhania kama wachina kujenga gorofa kwenu ni kwasababu ya ushawishi wenu or something. Lahasha..
sera zenu zinakandamiza mungiki ndio mana wengi mnaishi kibra na slums zingine, ardhi yote ya kilimo mmemuuzia muizraeli yeye analima maua saivi, mungiki hamuwezi kujitosheleza hata kwa ugali tu. 😂😂😂

Sera zetu za ardhi sisi ndio zinakataza hao kujenga makazi hapa, muwekezaji mkubwa wa Nyumba bongo ni NHC you either cooperate with them or do not invest in Tz at all..

Sisi sio nyie mikundu yenu nyie. We are far better. 😂😂😂
They don't own the land. They lease. Ata hizo nyumba zenyewe wanauzia wakenya apartment units.
Kinacho waleta Kenya ni economic conditions. Greener pastures.
 
JKIA is not part of the budget Mr. Bongolala.
The government will finance it through the National Investment Fund, and airport-revenue tied debt.

Mtalia sana. Kuna any ongoing project huko Dar Vumbi worth more than 2 shillings?
hapana ni 1 shng
 
" wachina wamewagonga.. kibera .."🤣
mchina mtu mbad
1781860860277.png
 
This Ai isn't even applicable in Kenya, Kenya doesn't have this scale of air transportation business to accommodate 50+ air bridges in a single airport

View: https://x.com/i/status/2067665764232929702

Mumeanza kuumizwa roho mapema aje na hata groundbreaking haijafanyika🤣🤣🤣

Just join the bandwagon of 'haitajengwa, mark my words' utulize kende zako
 
Back
Top Bottom