Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kama MLDC ni stage hii bora tubaki LDC😀😀
sijui kama vijijini watu wanaoga kweli
View attachment 675822 View attachment 675823

wakati magufuli amefungua mradi mkubwa na wakisasa wa maji unaoitwa ruvu juu ambao utasukuma maji safi na salam kwenye mkoa wa dar na pwani😀😀😀 cost yake ni over 200m usd na bado ruvu chini iko under huge maintenance
View attachment 675857 View attachment 675858 View attachment 675859 View attachment 675861 View attachment 675862 View attachment 675863 View attachment 675866View attachment 675862View attachment 675864
Cape town wana shida ya maji sasa hivi, is dar better than cape town??akili zingine jaman
 
Nini kinawatafuna mpaka mnakuwa LDC?
kwasababu tanzania imeanza kutumie rasilimali zake ndani ya miaka 3 iliopita na hoja kubwa tulikua tunasubiri tusomeshe vijana wetu wawe na elimu za fani tofauti washike kazi na sio kuleta wageni washike kazi hata ukiangalia unemployment rate iko chini sana, its just 12% while kenya is over 40%


so tegemea mazuri 2020😀😀😀😀, vp umeoga??
 
Cape town wana shida ya maji sasa hivi, is dar better than cape town??akili zingine jaman
hatuko kwenye battle na capetown hapa tunaangalia dar vs nai, na hili ndio tatizo lenu mkiona mumebanwa munaanza kusingizia nchi zingine 😀😀😀😀

kwenye deni lenu la taifa mkenya mmoja alifananisha kenya na usa😛😛😛😛😛

sasa maji yanayosukumwa ruvu juu yanaweza tosheleza nairobi mombasa na kisumu kwa pamoja, 196m ltrs
39704A2F-462C-4756-A046-13022A0253C4.jpeg
 
Cape town wana shida ya maji sasa hivi, is dar better than cape town??akili zingine jaman
Acha kudanganya watu Cape Town hawana tatizo lolote la maji, kunatokea tatizo dogo la kiufundi ambalo linapatiwa ufumbuzi ndani ya muda mfupi, Nairobi sasa ni zaidi ya mwaka hamna maji ya kutosha, the only Capital city to have water rationing in East and central Africa
 
Akili za wakenya juu ya Tanzania (Seriously hawaipendi Tanzania na watanzania) JamiiForums.com
 
Atleast you should thank your God because you live in 100 % arable country compared to Kenya's 20%.....But we try our best
ndio muache sifa za kipuuzi munapika uchumi wakati nchi inaumasikini usiosemeka, yani nimestaajabu kuskia kuna shida ya maji nairobi mwaka sasa hvi, yani watu wanapewa maji kwa mgao, kwanza umeoga wewe
 
Back
Top Bottom