stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,347
- 36,623
Baada ya mwaka mmoja mchina atakuja na brand zinazofanana na Iriza. Subiri utaona. Lakni rafiki yangu wakenya tumewapelekea moto mpaka wamepoteana. Hebu tuwaitesema kiutan utan irizar inakua standard mpya mchina anaweza kusahauliwa
isuzu wakijibana sana wanatoa iriza pia zenye kunguni 🤣Baada ya mwaka mmoja mchina atakuja na brand zinazofanana na Iriza. Subiri utaona. Lakni rafiki yangu wakenya tumewapelekea moto mpaka wamepoteana. Hebu tuwaite
Teargass mwaiofhawaii IamLee nyangau mkenya nairobae Nicxie NairobiWalker Reborn Ktb The Icebreaker Kifaru254 mwathadan BlietzKrieg
Kila atakaecheza AFCON anatumia iriza sasa sjui kwa wenzetu itakuaje na zile gari za kunguni
View: https://www.instagram.com/p/DZZUfIjjFwC/?igsh=MWZvMXp0OGFqN2dwYg==
Could you please post Dar aerial view so we can compare and contrast ….Warning: Uswazi ahead …🤣🤣🤣
For $50 Guess locationUkiwaambia wakenya wakupatie picha kama hii kutoka Nairobi wanapotelea Kibera. Mnazi mmoja Dar es salaam.
View attachment 3607250
View attachment 3607251
View attachment 3607252
Utawezana?Ukiwaambia wakenya wakupatie picha kama hii kutoka Nairobi wanapotelea Kibera. Mnazi mmoja Dar es salaam.
View attachment 3607250
View attachment 3607251
View attachment 3607252
I can see everywhere empty spaceUtawezana?View attachment 3607274
NMB mbna ina mtaji wa kutosha tu mkuu na ndo the 2nd biggest in east africaShare price ya nmb ni 14000tsh .
possibility ya kununua sidian ,family au credit bank za Kenya zipo, mtaji upo wa kutosha.
Hapo Dili ni kununua benk moja kwa 100% then unauza atleast 40% ya shares ili kukuza mtaji kwa Kenya tu.NMB mbna ina mtaji wa kutosha tu mkuu na ndo the 2nd biggest in east africa