babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,257
- 35,659
Nimeisoma kaka ripoti hiyo. Hakika Kenya ipo na hali mbaya sana. Maelezo machache toka kwenye ripoti.Report imetoka..
Page 32 wametoa uchambuzi mzuri kuhusu bandari ya Dar. Ndio imeshikilia biashara ukanda huu kwa Sasa. Uwekezaji mkubwa kutoka sekta binafsi na mapinduzi ya uendeshaji na uharaka wa huduma za kiforodha zinafanya Tanzania kuwa kimbilio kwa wasafirishaji na wafanya biashara.
Page ya 33 inaongelea bandari ya Mombasa vile Iko hivyo katika uendeshaji wake na imejikita kwenye propaganda zaidi kuliko uhalisia wake
View attachment 3606929
So used to mediocrity.Hii Proof inaonesha Nairobi ni empty. Nairobi only bing in Social media
Kila mtu hapa JF anajua unajidanganya nafsi yako. Nani asiyejua kuwa kenya imetapakaa na flying toilet kila sehemu? Wadanganye South SudanSo used to mediocrity.
No wonder most people visit Dar vumbi only once, while everyone keeps returning to Nairobi.
The concept of fresh air and green spaces does not ring a bell in your mind.
Dar slum looks like Gaza after the bombings.
Until you demolish that fishing village and build everything afresh with proper spacing, you'll continue to compete with Central African cities. 😂😂
I can remember someone telling them that Tanzania will never stay 1 year ahead of Kenya in FIFA ranking wakaponga. Naona hata mwaka haujaisha na already wamerudi kusoma number.Utaambiwa FIFA ranking means nothing. Utaambiwa club football is where the real thing is. Meanwhile kuna wakati siku haingeisha bila screenshot ya FIFA ranking humu.😂😂😂😂
The denominator is that it's a 15 floors building which available in every county in Kenya. Najua nyinyi watanzania gorofa bado ni Jambo geni kwenu.Unafaa kujua kwamba hiyo si affordable mzee 😂😂😂 gorofa za bei ya jioni. Hiyo ni luxury apartments.
innaonekana tulivokufundisha kuhusu skyboxes bado hujapata elimu alafu mbna sasa akikaa haoni uwanja mzima na apo hamna mashabiki au watakua wanasimama>?
yes we canCould you please post Dar aerial view so we can compare and contrast ….Warning: Uswazi ahead …🤣🤣🤣
and this is our best looking placeCould you please post Dar aerial view so we can compare and contrast ….Warning: Uswazi ahead …🤣🤣🤣