President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,527
- 94,006
Kaka endelea tu kukaa huko ulaya. Mawazo yako hatuyataki. Huna impact wala faida yoyote katika taifa letu.Hakuna mahala nimesema hajasoma. Amesoma na alifeli mfululizo na amekiri publicly. IQ kubwa unatoa wapi ikiwa umefeli primary na kutoka na zero 4 na 6?
Hapo anadhalilishwa vipi kusema uwezo wake darasani ulikuwa mdogo?
Kwahio unataka tufumbe macho na kuendelea kumpachika maPhD ili aonekane ana akili sana? 😂
Kwenye lile swali dogo tu ndipo IQ yake ilikuwa tested.
"Swali:
How are you going to circumvent or bypass sanctions?
Hapo ndipo alitakiwa kuthibitisha kuwa yuko vyema upstairs. How unajibu swali bila ku-divulge sensitive information?
Nikupe mfano:
Yesu aliulizwa kimtego na wanashearia ili kumtega na kumpa kesi dhidi utawala wa kipindi hicho.
Wanasheria:
"Mwalimu (Yesu) tunajua wewe husema kweli bila kujali cheo cha mtu, tuambie ni haki kulipa kodi kwa Kaisari?"
Yesu: "Dinari ina chapa ya nani?
Wanasheria: "Kaisari"
Yesu: "Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari."
Jamii kipindi kile inatambua si sahihi kulipa kodi kwa Kaisari na wanasheria walimjia kwenye kadamnasi wakijua angejibu ndio ama hapana wakijua akijibu ndio watu watamkimbia na akijibu hapana ana kazi na Kaisari.
Aina hii ya swali alikumbana nayo Kwame Nkuruma alipoulizwa "Which direction is Africa facing, East or West?"
Kwame Nkurumah: "We face neither East nor West; we face forward”
Mama yetu kaulizwa swali dogo tu, kajibu kama mpika chai sokoni🚮
Tunawajua nyie mnaokaa huko ulaya ajenda yenu, mlete vurugu Tanzania ili muwe wakimbizi mpate uraia wa huko Ulaya.
Wala hutusumbui, Watanzania wote wanawajua