Unapomwita Rais Samia kuwa yeye siyo genius, hajasoma, hana IQ kubwa lengo lako ni nini? Lengo lako ni kushusha hadhi yake na kudhalilisha Taifa la Tanzania.
Hakuna mahala nimesema hajasoma. Amesoma na alifeli mfululizo na amekiri publicly. IQ kubwa unatoa wapi ikiwa umefeli primary na kutoka na zero 4 na 6?
Hapo anadhalilishwa vipi kusema uwezo wake darasani ulikuwa mdogo?
Kwahio unataka tufumbe macho na kuendelea kumpachika maPhD ili aonekane ana akili sana? 😂
Kwenye lile swali dogo tu ndipo IQ yake ilikuwa tested.
"Swali:
How are you going to circumvent or bypass sanctions?
Hapo ndipo alitakiwa kuthibitisha kuwa yuko vyema upstairs. How unajibu swali bila ku-divulge sensitive information?
Nikupe mfano:
Yesu aliulizwa kimtego na wanashearia ili kumtega na kumpa kesi dhidi utawala wa kipindi hicho.
Wanasheria:
"Mwalimu (Yesu) tunajua wewe husema kweli bila kujali cheo cha mtu, tuambie ni haki kulipa kodi kwa Kaisari?"
Yesu: "Dinari ina chapa ya nani?
Wanasheria: "Kaisari"
Yesu: "Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari."
Jamii kipindi kile inatambua si sahihi kulipa kodi kwa Kaisari na wanasheria walimjia kwenye kadamnasi wakijua angejibu
ndio ama
hapana wakijua akijibu ndio watu watamkimbia na akijibu hapana ana kazi na Kaisari.
Aina hii ya swali alikumbana nayo
Kwame Nkuruma alipoulizwa "Which direction is Africa facing, East or West?"
Kwame Nkurumah: "
We face neither East nor West; we face forward”
Mama yetu kaulizwa swali dogo tu, katoa matamshi kama mpika chai sokoni🚮