Hivi wakenya mtaelimika lini?, kwanini hamjifunzi mnabaki na mawazo yale yale kila siku?, hivi vichwa vyenu vinafanya kazi kweli?, mimi huwa ninawashangaa sana kwa uwezo wenu mdogo wa kufikiria na kufahamu mambo ya duniani.did you take note of land compensation and land topography logistics costs? ....I know your government owns all land so no compensation costs and legal battles
Hao wauzaji wanaitwa mama mboga sasa watuambie kama sukuma za mama mboga wanazichuliaga kwenye mallsWanapiga kelele Za bure to apa,Najua ata leo Jay na wenzake wmefata vitunguu vibandani waache kutuchota ufala
Hamna lolote kelele tu zafrahisha gengeHao wauzaji wanaitwa mama mboga sasa watuambie kama sukuma za mama mboga wanazichuliaga kwenye malls
Hivi wakenya mtaelimika lini?, kwanini hamjifunzi mnabaki na mawazo yale yale kila siku?, hivi vichwa vyenu vinafanya kazi kweli?, mimi huwa ninawashangaa sana kwa uwezo wenu mdogo wa kufikiria na kufahamu mambo ya duniani.
Katika ujenzi wa reli, mkopo haulipii fidia ya ardhi, hilo ni jukumu la serikali, sasa hivi serikali ya Uganda imeanza compensation hata kabla ya kuomba mkopo, kwasababu pesa ya ujenzi hailipi land compensation.
Hiyo gharama ya ujenzi wa SGR yenu, bado gharama za compensation hazijawa included kwasababu zilitolewa na serikali way back kabla ya loan kutolewa, kama zitakuwa included zinaweza kukaribia $4.7B from Mombasa to Nairobi
Hii ndio inawauma wakiona namna wachina walivyowachezea kwaito wanaomba bullet train yetu isiweHivi wakenya mtaelimika lini?, kwanini hamjifunzi mnabaki na mawazo yale yale kila siku?, hivi vichwa vyenu vinafanya kazi kweli?, mimi huwa ninawashangaa sana kwa uwezo wenu mdogo wa kufikiria na kufahamu mambo ya duniani.
Katika ujenzi wa reli, mkopo haulipii fidia ya ardhi, hilo ni jukumu la serikali, sasa hivi serikali ya Uganda imeanza compensation hata kabla ya kuomba mkopo, kwasababu pesa ya ujenzi hailipi land compensation.
Hiyo gharama ya ujenzi wa SGR yenu, bado gharama za compensation hazijawa included kwasababu zilitolewa na serikali way back kabla ya loan kutolewa, kama zitakuwa included zinaweza kukaribia $4.7B from Mombasa to Nairobi
Unachekeshacompensation cost was factored in.....why should it be excluded and it forms part of the overheads?.....land Labour cost and material all are aggregated to come up with a consolidated figure
Unachekesha
"
Taxpayers will pay Sh2.8 billion above the amount the government had set aside to compensate property owners along the Nairobi-Mombasa standard gauge railway (SGR).
Transport principal secretary Irungu Nyakera on Monday said the land compensation bill stands at Sh33 billion or 10 per cent of the project cost of Sh327 billion.
"
Compensation for SGR land exceeds budget by Sh2.8bn
The issue is that the loan does not cover compensation in no way, government already put aside the money to pay for the compensation long before.then comes the topography issue........some areas have tricky gradients and those call for the supporting pillars which are quite a fortune
Hahahahahahaha ati Sasa tuingoje 2030?Tuna miezi 5 tu kazini utakua mwehu kama utataka uone reli hata barabara ya lami tu haichukui miezi 5 kuwekwa lami, ndio itakua electric railway?
Kuna rusty roofing hapo CBD yani watu wanaishi CBD what a waste of space and resources.Dar...
![]()
![]()
Mitungi yenu ya viroba mmeikomboa toka kwa bwana zenu Kanada?Tatizo ni wivu tu hawana lolote wanaomba mradi ushindikane ili wasipate aibu na mitungi yao ya chang'aa
Tunaenda na ratiba bado tupo kwenye frame hatujatoka nje hivyo tegemea kuona bullet train ikifanya yake next year.Hahahahahahaha ati Sasa tuingoje 2030?
Leta picha ya nrb CBD kama Hamna rusty ,Lazima kuwe na baadhi ya majengo ya zamaniKuna rusty roofing hapo CBD yani watu wanaishi CBD what a waste of space and resources.
Sio kweli, jaribu kujielimisha, hakuna Bank au financier yoyote duniani anayekubali kulipia land compensation in foreign countries, nimekupa mfano wa Uganda sasa hivi wanafanya compensation hata kabla hawajaomba mkopo, gharama ya ujenzi wa reli per km, is always within the same range($3M - $7M), depending on topography and water bodies, ukiingiza land compansation haitowezekana kuwa na standard ya price world wide, kuna nchi ardhi ipo juu sana.compensation cost was factored in.....why should it be excluded and it forms part of the overheads?.....land Labour cost and material all are aggregated to come up with a consolidated figure
Opposite side of those buildings Kuna nini? Picha ya pili Kuna that building with a curved shape na kando yake Kuna slums, is a hebu leta Picha ya hiyo building uone naijua Dar.Victoria..Dar
![]()
![]()
Maana ya CBD ni nini Kwanzaa?Leta picha ya nrb CBD kama Hamna rusty ,Lazima kuwe na baadhi ya majengo ya zamani
Umeizidi umazaOpposite side of those buildings Kuna nini? Picha ya pili Kuna that building with a curved shape na kando yake Kuna slums, is a hebu leta Picha ya hiyo building uone naijua Dar.
Ni mahali wanavuna misitu na kuchoma mkaaMaana ya CBD ni nini Kwanzaa?
unaijua dar Kwa pichaOpposite side of those buildings Kuna nini? Picha ya pili Kuna that building with a curved shape na kando yake Kuna slums, is a hebu leta Picha ya hiyo building uone naijua Dar.