Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
sindano imechoma mahala pake😀😀😀😀ukweli ni kwamba hela hamna na reli progrss pia hamna😀😀😀You are talking like lunatic, hiyo Sgr huwa inaletwa kama TV ndani ya box? You are a fool beyond repair
sindano imechoma mahala pake😀😀😀😀ukweli ni kwamba hela hamna na reli progrss pia hamna😀😀😀You are talking like lunatic, hiyo Sgr huwa inaletwa kama TV ndani ya box? You are a fool beyond repair
We never do that jombaa, kumbuka wakati tunajenga BRT, tulikua kimya sana, wakenya na watanzania wengi hawakujua kama ujenzi ulikua unaendelea, hadi siku Magufuli alipouzindua rasmi(Work in silence, let success be your loud). Tulia jomba nchi inasonga kwa kasi sana.Mnashinda mkituambia kazi inasonga kwa speed sai karibia nusu mwaka hivi mbna inakua ngumu kutuma picha tuone progress?
Tuwape progress kama nani? Mnachangia chochote kwenye hii project? Are you financiers to be provided with the project progress? Mnachekesha
hakuna progress yeyote ukweli tu usemweTuna miezi 5 tu kazini utakua mwehu kama utataka uone reli hata barabara ya lami tu haichukui miezi 5 kuwekwa lami, ndio itakua electric railway?sema tu hamna progress..😀😀..waturuki wanakunywa vumbi msituni😀😀😀
leta picha wacha hasira....reli iko wapi? kwanza hata hela hamna rais ana omba omba Zuma hela baada ya kukataa mkopo toka China...Tuna miezi 5 tu kazini utakua mwehu kama utataka uone reli hata barabara ya lami tu haichukui miezi 5 kuwekwa lami, ndio itakua electric railway?
Tatizo ni wivu tu hawana lolote wanaomba mradi ushindikane ili wasipate aibu na mitungi yao ya chang'aaUnazidi kuonyesha kichwani mwako hamna kitu
Ulitaka miezi 6 SGR ya Umeme iwe imekamilika!!
Hata ile mitungi yenu ya chang'aa imechukua zaidi ya miaka 3
Muwe mna ficha upumbavu wenu
![]()
hakuna progress yeyote ukweli tu usemwe
Hata hivyo sio lazima mjue vyovyote mtakavyowaza ruksa, Sgr yetu inachanja mbuga haijengwi na maneno inajengwa na vitendoleta picha wacha hasira....reli iko wapi? kwanza hata hela hamna rais ana omba omba Zuma hela baada ya kukataa mkopo toka China...
Hahaha kwani mawazo yako ndio yanabomoa Sgr yetu? Unachekeshasindano imechoma mahala pake😀😀😀😀ukweli ni kwamba hela hamna na reli progrss pia hamna😀😀😀
Unaweza weka mipango mizuri mizuri usiitimize, Ndio maana ya huo msemo??sijaelewa
leta picha wacha hasira....reli iko wapi? kwanza hata hela hamna rais ana omba omba Zuma hela baada ya kukataa mkopo toka China...
Sababu mpo desperate sana na Sgr yetu kuwasaidia kila siku ya alhamisi na jumapili tegeeni tbc 1 kuanzia saa 12 kuna special program for SGR Tanzania tu, program ni ya rahco inaonesha progress zote stage by stage kutoka site wavimba macho.![]()
hakuna progress yeyote ukweli tu usemwe
Wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu![]()
hakuna progress yeyote ukweli tu usemwe
Mkuu Mimi supermarket huwa naenda kununua labda electronic devices and the likes,sasa malls na supermarkets zimejaa kote na zinalipa ushuru kwa serikali...ndio maana hata uchumi wenu uko chini hivyo....mna mazoea ya kishamba...etu mtu hawezi nunua bidhaa suprmarket...anatamani tu aende kariakoo apimiwe mchele ama unga😀😀😀mnapenda sana informal shopping😀😀😀
Tanzania building electric rail at half price of Kenya’s diesel Standard Gauge Railway line
Hiki ndicho kinachowafanya mpaka wawe very much obsessed na SGR, wanataka kuona Tanzania imewezaje kujenga electric and by far superior railway for half of Kenyan's price.
Vitu sokoni ni 100% locally produced, ukinunua vitu vinavyozalishwa nchini, sio kwamba unajenga nchi, bali pia unatengeneza ajira kwa wananchi, hii ndiyo sababu unemployment is very much low in Tanzania.sema tu hali ya maisha LDC ni magumu hivyo watu wenye mapato ya nchi LDC lazima waende sokoni maana supermarket hawawezani nazo....malls huwa zinaashiria uwepo wa middle class kubwa....Tanzania mmeshindwa hata na Madagascar, Ghana na Ivory Coast kwa middle class...mta afford kweli kufanya shopping katika malls?
Hata wenyewe wanashop mtaani sio kama wakenya wote wana access to the supermarket tena wananunua kwenye mazingira machafu kweliMkuu Mimi supermarket huwa naenda kununua labda electronic devices and the likes,
Siwezi fuata nyanya Supermarket wakati Mangi anauza hapa nje kitu fresh imetoka shamba Jana,
Nina Rafiki zangu wazungu huwa wakija wanataka vitu za sokoni sababu sio GMO's na zina ile taste OG,
Utamu wa nanasi la supermarket huwezi fananisha na ile kitu Local imetoka shamba Leo asubuhi msee, wacheni ulimbukeni kupiga maisha ya wazungu, Ishini maisha yenu
Bullet train will keep sucking you in all angles ndio ishakua hivyo hamna namnawameegesha caterpillar same spot for a month ....waiting for the 150 km /hr "bullet train"... smh
Wanapiga kelele Za bure to apa,Najua ata leo Jay na wenzake wmefata vitunguu vibandani waache kutuchota ufalaHata wenyewe wanashop mtaani sio kama wakenya wote wana access to the supermarket tena wananunua kwenye mazingira machafu kweli![]()
![]()
![]()
![]()