au tubadilishane maafisa mipango miji? waje watusaidie kupanga jiji letu la dar vizuri?
haiwezekani kila siku ukiongelea jiji la Dsm basi macho yanaangali kkoo, posta, obay, na masaki!!!
Lazima jiji la dsm litanuke, kuwepo na miji ya kisasa pembezoni na muonekano wa jiji la dsm unaanzia ktk mpaka wa kibaha pale unapo karibishwa na vibao vya kuingia jijini. abiria wanao ingia kutoka Kenya, uganda, Rwanda, Drc, Burundi, malawi zambia,botswana,harare n.k ndipo huanzia hapo kukodoa macho kushangaa dsm ilivyo.