President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,631
- 94,237
Wewe kama msomi hebu nenda kasome masterwork ya Plato The Republic ndio utajifunza zaidi. But ngoja niweke vionjo vichache vilivyomo ndani hapa ili tuende pamoja.Buda hata usijieleze sana, kupewa PhD kwa kiongozi sio kuwa ndo ana akili sana , ingekuwa hivyo angeitafuta ya kusomea .
Wewe nawe!Kwa sababu wanajua swali linaloulizwa lipo na mlengo wa kisiasa na linaweza kuleta utata.
Tafuta speach yake mwenyewe akikiri hilo, tena kwa lugha nyepesi:Wewe ni timu Maria Sarungi sina cha kuongea na wewe cha ziada. Bye
NB: Unayemuongelea kuwa alifeli la saba ni nani? Unayemuongelea kuwa alipata zero 4 na 6 ni nani? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Maria Sarungi amekuharibu
Samia aliingia kwenye CCM Central Committee (CC) mwaka 2002 sijui wewe ulikuwa wapi. Na kabla ya hapo alikuwa mjumbe wa NEC. Unadhani kazi hiyo ni rahisi mzee.Tuzo ya MIUNDOMBINU KULE Ghana yeye alikiri kuwa anapokea on behalf ya baba wa miundombinu Tanzania, Dokta wa kweli, John P Magufuli.
Ulimwengu umeshatambua moja ya weakness zake kubwa ni kutunukiwa honoris causae na kuitwa Dokta. Ni kawaida, Trump yeye anataka sana "peace prize" jambo lililo peleka FIFA kumpa baada ya kukosa ile nyingine na yule mwana mama wa Venezuela kuenda kumpa yake. Ni ulimbukeni tu! Kwa sasa, Samia ndio Rais mwenye hizi honoris causae nyingi ulimwenguni.
Yaani ufeli la saba, upate zero form 4 na 6 then uibukie India na elimu ya kuunga-unga halafu honoris causae zianze kunyesha tu ndani ya 5yrs ya urais wako🚮
Nyerere ndani ya 20yrs ya urais hajawahi kupata hizi.🚮
Sasa Tanzania tupo na Sanctions? This is very trivial issue. Mbona huongelei Samia Scholarship? Unakazania vitu vidogo ili kujifurahisha wewe na Maria Sarungi 🤣 🤣 🤣 Jinga kabisaWewe nawe!
Sasa swali la mtego ndio ujibu usichoulizwa?
jibu swali ulilo ulizwa, kama limeulizwa kimtego jibu kimtego sio utoe matamshi yasio na mshiko.
Hakujibu swali, alitoa tu matamshi yaliyo nje ya swali; nothing intelligent kuhusu hili.
"Swali:
How are you going to circumvent or bypass sanctions?
an appropriate reply to that question was to establish her government's strategies in dealing with sanctions.
However, if the point were to downplay the question, she could have simply answered:
1. I am not in a position to respond to that type of query."
Hakuna Speach hiyo, hizo ni cheap Propaganda mzee, tunazijua. Hizo ni tabia za Ki Maria Sarungi kila mtu analijua hilo. Kuandika uongoTafuta speach yake mwenyewe akikiri hilo, tena kwa lugha nyepesi:
"Sijufanya vizuri mitihani yangu"
Chaguo la Vice President la Magufuli ni Dr. Hussein Mwinyi mwenye elimu ya kweli na uwezo wa kuongoza na kazi zake wala haziitaji mbeleko na hizi honoris causae zosizo na idadi.
Urais ni Taasisi siyo ufalme wa kujichagulia tu wewe unachotaka. Taasisi za Usalama ndio zinazofanya kazi siyo matakwa ya mgombea Urais. Nimekuambia wewe bado sana kujua masuala ya National InterestsChaguo la Vice President la Magufuli ni Dr. Hussein Mwinyi mwenye elimu ya kweli na uwezo wa kuongoza na kazi zake wala haziitaji mbeleko na hizi honoris causae zosizo na idadi.
Stadium stairs inside terraces use this straight model where stairs lead directly to entry/exit points. This is the norm world over.Let’ us see ur stairs n compare!
Acha kutupigia kelele humu nenda JNICC mchana sa nane ukaulize swali lako. Nenda pale kaulzia maswali yako yote utapata ufafanuzi zaidiTafuta speach yake mwenyewe akikiri hilo, tena kwa lugha nyepesi:
"Sijufanya vizuri mitihani yangu"
Chaguo la Vice President la Magufuli ni Dr. Hussein Mwinyi mwenye elimu ya kweli na uwezo wa kuongoza na kazi zake wala haziitaji mbeleko na hizi honoris causae zosizo na idadi.
Mnatengeneza maku 🤣🤣🤣🤣Sisi hatutengenezi masufuria. Ukiumia we umia tu 😂😂😂
Iko hivi bwana mdogo:Samia aliingia kwenye CCM Central Committee (CC) mwaka 2002 sijui wewe ulikuwa wapi. Na kabla ya hapo alikuwa mjumbe wa NEC. Unadhani kazi hiyo ni rahisi mzee.
Yaani miaka yote hiyo asijue siasa halafu wewe umzidi na Maria Sarungi wako?
1986 - Alipata advanced diploma (Kipindi hicho ilikuwa Equivalent to Degree) Public administration - Wewe 1986 ulikuwa wapi?
1992 na 1994 alisoma University of Manchester akapata - Postgraduate diploma in economics (Wewe miaka hiyo upo O-Level pale Tanga Tech ukicheza)
Sasa unakuja unaleta takwimu za uongo hapa ili kujifurahisha wewe na Maria Sarungi, Uwe mkeli acha chuki zako hizo za kipuuzi. She is a Woman and she is doing very good zaid ya wanaume wengi tu duniani kwenye mataifa yao.
Tangu Nyerere aende huko Urusi ni yeye wa pili kwenda huko. Mambo haya yanawauma sana wanaume waliowengi. Wanajiunga kumchafua kila kona. But aliyebarikiwa kabarikiwa tu, watu wenye akili wanaona
Point yangu ni kwamba huo uwanja ni low quality. Show me any modern stadium with such winding stairs inside the terracesPoint yako hapa ni nn, kwamba hakuna uwanja wenye ngazi kama hzo auuu?
Siku nikiwa Tanzania nitakwenda.Acha kutupigia kelele humu nenda JNICC mchana sa nane ukaulize swali lako. Nenda pale kaulzia maswali yako yote utapata ufafanuzi zaidi
View attachment 3602772
Moja ya hizo viwanda 2000 ndio hii hapa 🤣🤣🤣🤣🤣Yet AZAM dominates every sector in bongoslum. Bakhresa na MO ndio wameshikilia FMCG industry huko bongoslum while trying to compete with Kenyan and global brands which are of superior quality. Lakini mbona uite poshomill kiwanda. 😂 😂 😂 Eti viwanda elfu mbili.
Atakuambia ni data za kupikwa 🤣🤣🤣You want to go on a comparison spree of textile manufacturing?
Athi River area near Nairobi produces and exports more clothes than Bongolala, Uganda and Burundi combined.