Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,051
- 5,428
Ongezea kwamba, Na hizo foreign companies zenyew zikishindwa kujiendesha zinanunuliwa na Tanzanians.Ebu tuoneshe Azam maize flour Mills ilivyo dominate Tanzania? Ebu tutajie kiwanda Cha mafuta ya kula kilichodomibate Tanzania , what about telecom companies zilizodominate Tanzania .
All ni all hata angekuwa Azam or any still yet si foreign owned tofauti na Kenya ambako foreign companies ndo zimedominate🤣🤣🤣
Sasa nina wasiwasi atapishana na wakenya maana wapo njiani kwenda Singapore 🇸🇬 🤣🤣Wakenya wakiona vitu hivi wanaumia sana
View: https://www.instagram.com/p/DZNE8ahF1TO/?igsh=Nm82bjFvOGxzMmY5
Walikua wanadai macousin wao 😀O eti wakenya (nyang'au) hawaguswi sijui nini; upuuzi mtupu. Sasa hii nini?🤣
View: https://m.youtube.com/watch?v=wPiQ55cAvp0&pp=ugUEEgJlbg%3D%3D
Stop living in the past …Kasarani stadium play surface is currently going through modernization…. Actually the entire stadium and the surroundings …. Keep yourself updated…Hawa jamaa ni malofa kweli kweli, wenzao tumeshatoka kwenye haya manyasi ya aina hii, tupo kwenye hybrid kama ulaya, wao wamewekewa manyasi asilia kama kasarani 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3602036
Hawapaswi kuandaa hii michuano, watatuaibisha hawa washamba.
One incident is not a conclusive picture of the entire situation involving Kenyans. Also stop projecting again… Kenya never kiss up to nobody… it’s y’all Who claim you liberated them and they love you …. ( apparently NOT)…😆😆Walikua wanadai macousin wao 😀
The more you learn about this stadium the more you realize how cheap and primitive it is…😆😆Arusha stadium View attachment 3601979View attachment 3601980
You are writting too many textThe more you learn about this stadium the more you realize how cheap and primitive it is…😆😆
Almost 200 million in revenue, this has been a very good season for the KPL. We are slowly taking back our throne.
View: https://x.com/ltn_sports/status/2062928910786982042?s=20
This a typical stairs in a regular Kenyan house vs. Samia Stadium stairs …. Sijui mtu anaingia stadium au anaingia kwa choo …🤣🤣🤣🤣You are writting too many text
Wat are you modernizing there? Btw can you league even create millionaires?Stop living in the past …Kasarani stadium play surface is currently going through modernization…. Actually the entire stadium and the surroundings …. Keep yourself updated…
Boss safaricom ilishauzwa, its no lomger a kenyan companyNi mjinga pekee atayeshangilia kuwa na kampuni chache zenye monopoly badala ya kuwa na kampuni nyingi ndogondogo zenye kuajiri watu wengi na kutengeneza ushindani.
Mfano safaricom Ina dominate soko kwa zaidi ya 60% utailinganishaje na Tanzania kwenye kampuni zaidi ya 4 na hakuna ambayo inamiliki soko zaidi ya 40% hivyo ushindani ana ajira nyingi kwa wazawa.
Ukija kwenye viwanda vya UNGA wa sembe, Kenya kuna viwanda vichache sana sana sidhani kama vinafika 100 vya UNGA wa sembe,hivyo hata ajira ni kidogo sana tofauti na Tanzania ambako hakuna kiwanda kikubwa Cha sembe kinachodominate ila vipo zaidi ya 2000 vidogo vidogo vyenye uwezo kuzalisha Tani 20 kwa siku hivyo ajira ni kubwa sana kuliko Kenya yenye viwanda vikubwa vichache, vilevile kwenye mafuta ya kula na bidha nyingine.
Kuonsha anus za wazungu zimekufanya upungukiwe na akili. Stadium bado inajengwa halafu unaleta kelele.This a typical stairs in a regular Kenyan house vs. Samia Stadium stairs …. Sijui mtu anaingia stadium au anaingia kwa choo …🤣🤣🤣🤣
View attachment 3602416View attachment 3602417
IamLee nairobae NairobiWalker mwathadan Nicxie n TeargassO eti wakenya (nyang'au) hawaguswi sijui nini; upuuzi mtupu. Sasa hii nini?🤣
View: https://m.youtube.com/watch?v=wPiQ55cAvp0&pp=ugUEEgJlbg%3D%3D
Total sponsorship ya KPL!View attachment 3602415
Thamani ya mkataba wa simba wa jatty rutty imeizidi total sponsorship ya gormahia , imagine huyu ni muuza jezi tu.
Kwa mwaka 380mil ksh versus total revenue ya 191mil ksh 🤣🤣🤣🤣
Kaka Tsh 38b ni sawa na KSh 1.87 billion, waambie walijue hiloView attachment 3602415
Thamani ya mkataba wa simba wa jatty rutty imeizidi total sponsorship ya gormahia , imagine huyu ni muuza jezi tu.
Kwa mwaka 380mil ksh versus total revenue ya 191mil ksh 🤣🤣🤣🤣
Endelea kucheka halafu mmalize kujenga Talanta mjipate ham-meet specifications! Maana kuna suala la sections separations kwa kila level with multiple access! Mnatamba kujenga Talanta yet hamna bus stand ya maana Nairobi kumejaa tope!This a typical stairs in a regular Kenyan house vs. Samia Stadium stairs …. Sijui mtu anaingia stadium au anaingia kwa choo …🤣🤣🤣🤣
View attachment 3602416View attachment 3602417
🤣🤣🤣Kaka Tsh 38b ni sawa na KSh 1.87 billion, waambie walijue hilo
Ukichua media rights za Azam media ukajimlisha na sportpesa sponsorship kwa mwaka kwa league yao yote bado hawajafikisha sponsorship ya muuza jezi wa simba , jatty ruttyTotal sponsorship ya KPL!