Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ati sokoni.
labda watu wa upcountry
All LDC maisha ni rahisi...pia uganda na rwanda ni ksma hapo kwenu....
enda nigeria,ghana,sA,egypt then ulinganishe na kenya kama si sawa.
Ni sababu hakuna masoko kama Tanzania mpaka us wana public markets yanaitwa farmers markets

Public market in Nairobi
54590830_770a4b2469_b.jpg


Kwa hali hii ni lazima uchukie kushop hapo sikushangai
 
Bei ya bidhaa tanzania ipo chini kwa sababu Tanzania sio nchi yenye umuhimu wowote kibiashara ukanda huu...wajinga wana expect bei ya bidhaa nchini Kenya iwe sawa na bei ya bidhaa Tanzania huku kampuni zote za ng'ambo zipo nchini Kenya zinafanya biashara...bei ya ardhi tu inapanda asilimia 500 jijini Nairobi kwa sababu ya wawekezaji kama Hilton Hotel, Coca Cola, Google na Microsoft
Wewe inakusaidia nn Au unafurahia kukosa ardhi ili coca wapate?
Ilifaa ulipwe iq
 
we boya sana....😀😀😀😀Kenya kuna malls....markets ndio za ujinga gani...look at this fool!! majority of Kenyans shop in supermarkets, not Kariakoo-like shitholes😀😀😀
Masoko yapo dunia nzima achaga kuchota watu akili. ...local markets zipo dunia nzima....izo supermarkets ni more of processeced food products...why lakini unaforce ushindi?
 
Masoko yapo dunia nzima achaga kuchota watu akili. ...local markets zipo dunia nzima....izo supermarkets ni more of processeced food products...why lakini unaforce ushindi?
Ndivyo walivyo hao, sasa hivi hawana kitu cha kujisifia lazima walazimishe ushindi kwa lazima, mimi nilikaa sana Paris na Amsterdam, vyakula vyangu vingi nilikua ninanunua kwenye open markets, tena sio vyakula pekee, hata used electronics na bidhaa mbali mbali unapata open market, hiyo redio niliyoweka katika profile picture yangu nilinunua sokoni.
 
Back
Top Bottom