Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapambane na hunger kwanza 🤣 🤣 🤣 🤣
Kuna viashiria vingi sn kuonesha nchi yenye uwezo na ile isiyo na uwezo, angalia kwenye suala la Afcon tu utagundua ni nchi gn inajiweza kati ya Tanzania na kenya, angalia kwenye michezo kwa ujumla, angalia sanaa, angalia chakula, angalia infrastructural transformation utaelewa ni nchi gn maskini zaidi kati ya hizi mbili.
 
Kenya ni South Sudan iliyochangamka
 
Dawa imeanza kupenya 💉💉
Sisi hatuna battle na nyinyi kwenye michezo mzee, wacha kujipa umuhimu, sisi battle letu na SA
Screenshot_20260601_125453_Google.jpg
 
Duh!! yaani Dawa ipenye hivyo. Unajua budget ya Simba, Yanga na Azam kwa msimu mmoja?
Check hapa:

KlabuThamani ya Shilingi (TZS)Thamani ya Dola (USD)
Yanga SCBilioni 33.7~$16.84 Milioni
Simba SCBilioni 29.5~$14.78 Milioni
Azam FCBilioni 12.0 – 15.0~$6.00 – $7.50 Milioni
Uyo anafikiri sisi tunaleta masiala kama wao.
 
Duh!! yaani Dawa ipenye hivyo. Unajua budget ya Simba, Yanga na Azam kwa msimu mmoja?
Check hapa:

KlabuThamani ya Shilingi (TZS)Thamani ya Dola (USD)
Yanga SCBilioni 33.7~$16.84 Milioni
Simba SCBilioni 29.5~$14.78 Milioni
Azam FCBilioni 12.0 – 15.0~$6.00 – $7.50 Milioni
Nionyeshe revenue collected from hizo club tatu from previous matches. Budgets bila revenue ni upumbavu
 
Back
Top Bottom