The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Matunda ya investments kwenye soka, hawa wanusa gundi bado sn kwenye michezo.
Tuonyeshe Barabara zinazoelekea Arusha stadium 😂Tanzania ndiyo baba wa soka EA. Imagine Afcon inachezwa katika miji mitatu tofauti.
1. Dar Es Salaam
Mkapa Stadium View attachment 3599129
2. Zanzibar
Fumba Stadium View attachment 3599130View attachment 3599131
3. Arusha
State of the art View attachment 3599134
Nyie wakenya bado sana, uchumi wenu hauruhusu, uchumi mdogo sn, hamuwezi hizi mambo.
Zinajengwa. Hujui?Tuonyeshe Barabara zinazoelekea Arusha stadium 😂
Wameanza kuiogopa Sportpesa League. Hizi ni revenue kati ya Gor na Nairobi United timu ilipanda ngazi last season
View: https://x.com/i/status/2061333596854452701
Mmejenga stadium in the middle of nowhere. Ile aibu inawasubiriZinajengwa. Hujui?
Kichaa uyo, yn Tanzania ijenge state of the art alafu ishindwe kujenga vibarabara.Zinajengwa. Hujui?
Ndo utajuwa kwamba who's the father in this region, hii Afcon ndo inakwenda kuwazika wazima wazima.Mmejenga stadium in the middle of nowhere. Ile aibu inawasubiri
Nani kakuambia is in the middle of nowhere? MtajeMmejenga stadium in the middle of nowhere. Ile aibu inawasubiri
Naona unajaribu ressurection ambayo ilipitwa na wakatiIamLee tunaendelea tulipoishia
32. Mbezi Beach Plaza
View attachment 3598974
View attachment 3598975
Wewe una post usiku wa manane umekuwa mchawi? Mwenzako kaleta Battle ya Karen vs Msasani.Naona unajaribu ressurection ambayo ilipitwa na wakati
League tumei-revamp juzi na tayari mshindi anakula 20m. Hio ni around $155kTuiogope ligi ambayo mshindi anapata milioni 100 za Tanzania
😅😅 what do you expect them to post when you try competing with the mall capitalHii nayo ni mall? 😂😂😂
View attachment 3598999
A mall with one vehicle parked in front and no visible foot traffic!! 😂😂 At this rate, you'll call anything in Dar rising three or four floors a mall
Ati hampendi nini 😅Karen inaweza shindana na Msasani. Kumbuka watanzania hatupendi kuweka picha kwenye mitandao