Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa jamaa kwenye michezo bado wana exposure ndogo sana.

Gor Mahia parade
Screenshot_20260601_111836_ImageSearchMan.jpg


Young Africans parade
Screenshot_20260601_112054_ImageSearchMan.jpg
 
Acha ushamba. Nani yupo na muda hapa wa kuanza kupitia videos hizo. Go back to school and learn communication skill
Never mention msalani infront of Kenyans or Karen again. 😅😅 Mjinga sana
Who do you think you're trying to intimidate here? Watchman 😅😅
 
Watu tunafanya investments kubwa katika michezo na matokeo yake ndiyo haya, watoto wanaenda world cup.
Screenshot_20260601_114939_Google.jpg

Hawa banyamulenge wanusa gundi hawafanyi investments wanategemea watoto wa mathare wapambane mtaani huko zen waingie uwanjani kushindana na watoto walio kwenye system.
 
Sisi bado sana kwenye michezo? 🤣🤣🤣🤣
Hebu nikuulize, Tanzania inajulikana kwa michezo ipi?
Nyie hampo systematic, mnasuburi chokoraa zipambane kwa uwezo wao ndiyo ziwaletee tumedali tuwili tutatu kwenye mambio ya kilometa 100,000, lkn hamna investment yoyote kwenye michezo. Angalia watoto wetu hawa hapa wanaenda world cup 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
Screenshot_20260601_114939_Google.jpg
 
Back
Top Bottom