Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Tuonyeshe revenue collected Kwa gate achana na pesa za CAFYou are stupid. Uliza wakenya wenzako. Yaani uulize source of revenue kuhusu timu zinazoshindana international!!?
Tuonyeshe revenue collected Kwa gate achana na pesa za CAFYou are stupid. Uliza wakenya wenzako. Yaani uulize source of revenue kuhusu timu zinazoshindana international!!?
Young Africans SC (Yanga)Nionyeshe revenue collected from hizo club tatu from previous matches. Budgets bila revenue ni upumbavu
Tuliza tako lako hapo nikupatie vitu vichache:Tuonyeshe revenue collected Kwa gate achana na pesa za CAF
Me si nmekuambia huyo ni kichaa, kwa akili zake anataka kushindanisha na gor maia, yn matimu kila mwaka yanafika mbali kwenye michuano ya caf alafu uje ulinganishe na vitimu vyao vinavyoishia round za mwanzo mwanzo. Hizo jezi tu wakenya wanavaa jezi za simba na Yanga kuliko jezi za timu zao na jezi za timu za ulaya.You are stupid. Uliza wakenya wenzako. Yaani uulize source of revenue kuhusu timu zinazoshindana
international!!?
This Teams owns assets.
Tuonyeshe revenue collected Kwa gate achana na pesa za CAF
Angalia alivyo kichaa, eti mpaka leo anaongelea gate collection, hv timu zenu zitajenga viwanja kweli kwa akili za namna hii?Tuonyeshe revenue collected Kwa gate achana na pesa za CAF
Huyu Reborn Ktb ndio katoka Kibera juzi. Anadhani source of revenue ya football team ne gate collections pekee 🤣 🤣 🤣 🤣 Football clubs za Tanzania zinajiendesha kibiashara. Siyo kama zao bado zipo kwenye mashindano ya ridhaaMe si nmekuambia huyo ni kichaa, kwa akili zake anataka kushindanisha na gor maia, yn matimu kila mwaka yanafika mbali kwenye michuano ya caf alafu uje ulinganishe na vitimu vyao vinavyoishia round za mwanzo mwanzo. Hizo jezi tu wakenya wanavaa jezi za simba na Yanga kuliko jezi za timu zao na jezi za timu za ulaya.
Nyie kweli hatuwawezi, mana nyie ni wateja wetu. Mnashabikia ligi yetu, mnashabikia Simba na Yanga.Hamuwezi kushindana na sisi kwenye ushabiki wa mpira.
Kutegemea gate collections utapata wapi elite player? Average collection for each match Gor Mahia is $6,000 USD to $11,500 USD msimu wote Gor Mahia anapata collection ya $170,000 hadi $200,000 USD gate collection.Angalia alivyo kichaa, eti mpaka leo anaongelea gate collection, hv timu zenu zitajenga viwanja kweli kwa akili za namna hii?
Wamekubali kwamba kwenye gate collections Sportpesa League Iko mbele Yao. League bila ushabiki ni upumbavuHuyu Reborn Ktb ndio katoka Kibera juzi. Anadhani source of revenue ya football team ne gate collections pekee 🤣 🤣 🤣 🤣 Football clubs za Tanzania zinajiendesha kibiashara. Siyo kama zao bado zipo kwenye shindano ya ridhaa
Kando na kariachoo derby hakuna mechi zakuangalia tz. Timu ilipanda last seasonKutegemea gate collections utapata wapi elite player? Average collection for each match Gor Mahia is $6,000 USD to $11,500 USD msimu wote Gor Mahia anapata collection ya $170,000 hadi $200,000 USD gate collection.
Wakati Sign-on Fees tu huku Tanzania timu inalipa mpaka $400,000 USD
Which gate collections?Wamekubali kwamba kwenye gate collections Sportpesa League Iko mbele Yao. League bila ushabiki ni upumbavu
Kando na kariachoo derby hakuna mechi zakuangalia tz. Timu ilipanda last season
👇👇
View: https://x.com/i/status/2043184650730820028
Gusii stadium nyumbani kwa Shabana Fc ujenzi umeanza wa uwanja mpya. Sportpesa League itasumbua sana hapo mbele.
View: https://x.com/i/status/2053392770027430124
Licha ya ku-charge zaidi, yanga full season revenue kutoka Kwa gate ni ksh 41m, hizi numbers hazina tofauti kubwa na Gor ambayo imekuwa ikifanya vibaya last season 😂😂😂Which gate collections?
Yanga Gate Collection for whole year is $470,500 USD
Simba Gate Collection for whole Year is $560,300 USD
Go Mahia is $170,000 for whole year. Sasa tuambie unajivunia nini hapa? 🤣 🤣 🤣 🤣